Julius K. Nyerere: Ikulu ni pahali patakatifu, sio pango la wanyang'anyi

umeanzisha hoja ya Nyerere kuweka misalaba ikulu bila kuweka evidence halafu unataka watu tuamini kwa hoja zako za kipunguani, acha uzushi na uchonganishi, akili zako hazina uwezo wa kufikiri zaidi ya udini!

Na huyo mleta mada alileta ushahidi upi kuwa pale palikuwa patakatifu au pana utakatifu upi? ile ni office ya Rais, mtumishi wa Watanzania tuliomchaguwa na ambao hawajamchaguwa, huo utakatifu utoke wapi?
 
"Show forgiveness, speak for justice and avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)

To forgive is to be inclusive and coexist with those you disagree with but to avoid is to exclude and hate them. Is it possible to forgive and avoid spontaneously?
 
Why would someone come in here and try to make us "think" that Ikulu was "Saintly"? did you ever think of that? what is "utakatifu"? what more other than a terminology used in the Church especially "Roman Catholic", how can you now relate "utakatifu" with "Ikulu" what has "Ikulu" got to do with "Utakatifu", why is Ikulu not "saintly" any more? simply because there are no more Roman Catholic crosses and statues left by Nyerere in there. What else? if it was so depicted it was because of "saint" Nyerere, he is no more and no more "saintly" at Ikulu. Reality pains.
 
hiyo sura yako ,kila nikisoma comment ya kipuuzi humu jamvini,nikiangalia avatar nakutana na sura yako.Sikufichi nakuchukia sana,ungekua mke wangu kila siku asubuhi ukishaamka nakuchapa viboko 10,na kabla hujaenda kulala viboko 10,ili niweze kukumbusha majukumu ya mwanamke.
unatuboa sana na utumbo wako,mwanamke mdomo mrefu kama kasuku.Next jaribu kuandika vitu visivyoendana na dini,fankurumadona.
Kwa sababu misalaba aliyoiacha Nyerere imeondolewa.
 
crap.......
Why would someone come in here and try to make us "think" that Ikulu was "Saintly"? did you ever think of that? what is "utakatifu"? what more other than a terminology used in the Church especially "Roman Catholic", how can you now relate "utakatifu" with "Ikulu" what has "Ikulu" got to do with "Utakatifu", why is Ikulu not "saintly" any more? simply because there are no more Roman Catholic crosses and statues left by Nyerere in there. What else? if it was so depicted it was because of "saint" Nyerere, he is no more and no more "saintly" at Ikulu. Reality pains.
 
Why would someone come in here and try to make us "think" that Ikulu was "Saintly"? did you ever think of that? what is "utakatifu"? what more other than a terminology used in the Church especially "Roman Catholic", how can you now relate "utakatifu" with "Ikulu" what has "Ikulu" got to do with "Utakatifu", why is Ikulu not "saintly" any more? simply because there are no more Roman Catholic crosses and statues left by Nyerere in there. What else? if it was so depicted it was because of "saint" Nyerere, he is no more and no more "saintly" at Ikulu. Reality pains.

FF, the essence is integrity and responsibilities to the electorates.
 
Mwalimu-Nyerere,-Dr.-Kaunda,-Dr_.-Obote-and-Kawawa-in-Ikulu_.jpg
 
ULinzi nao kazi sana. Hususani walinzi wa nchi za kiafrika! Hebu muoneni huyo mlinzi wa JK? Hv hata JK akienda haja ndogo au kukata gogo jamaa anakua nje ya mlango au mle mle ndani ya msalani - ku-flash nk?
 
Enzi za Mwalimu Nyerere, baba wa Taifa alipenda kupaita Ikulu kuwa ni mahali patakatifu.

Hizi enzi za Dr. Kikwete, serikali na ofisi ya Rais wanakumbatia sana watuhumiwa wa ufisadi, ambao wanajificha nyuma ya mgongo wa Ikulu.

Tafakuri nzito, tukiangalia huko tulikotoka na kule tunakotaka kwenda.
 
Wakuu nimetafakari pasipokuwa na jibu kama kweli mpaka sasa ikulu ni mahala pa takatifu? kama mwalimu alivyokuwa akituaminisha na kukemia kwa nguvu zote?

Naombeni mchango wenu jamani kwa kutumia reference kwa mambo yanavyokwenda sasa
 
Patakatifu ni mbinguni tu, hata enzi za Nyerere hapakuwa patakatifu.
 
Back
Top Bottom