ngamiamzee
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 245
- 18
hawo si wawekezaji toka marekani kwa bush taifa lenye nguvu ulimweguni
unataka wakakutane nae kariakoo mnamwonea jk bure
unataka wakakutane nae kariakoo mnamwonea jk bure
Nyerere hawezi kusema hivyo kwa sababu ni Kiswahili kibovu, usinukuu kama huna hakika, nimeshindwa kuendelea kukusoma kwa sababu mpaka hapo wewe mwenyewe ushanitia mashaka.Kambarage Nyerere alipata kusema, kwamba " Ikulu ni sehemu patakatifu"
Funguka mkuu.
Hueleweki sisi tunafahamu ni patakatifu.
Undini nnao mimi au nyinyi mnaempigania Nyerere apewe "utakatifu", mnakazania Ikulu "patakatifu", mnanshangaza, ndio maana nawauliza pamekosa utakatifu kwa kuwa misalaba aliyoiacha Mtakatifu Nyerere imeondolewa?
Kwani pale ni kanisani hata pawekwe misalaba?
ıkwa sababu Misalaba na baba wa Taifa haiko ndio maana mambo yanakwenda ovyovyo tu hahahahahahNdiyo maana mambo yanakwenda ndivyo sivyo.
Kwa sababu misalaba aliyoiacha Nyerere imeondolewa.
Kwani pale ni kanisani hata pawekwe misalaba?