Juliana Shonza: Viongozi wa CHADEMA ni kama Herode, naibu spika ni kama Yesu

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968

Mbunge Juliana Shonza wa CCM amesema wanachofanya viongozi wa CHADEMA bungeni ni kama alichokuwa anafanya Herode, kwa kuwa wanamuonea wivu naibu spika kwa kuwa nyota yake inang'aa kama Yesu, na Herode alikufa akamuacha Yesu kwa na CHADEMA itakufa kama ilivyokuwa kwa Herode na nibu spika asiwe na hofu
 
Ana haki ya kuongea hayo maana ubunge wenyewe wa beibiiii ( kwa hisani ya mbunge mwenzie wa sisiemu aliyetamka hayo bungeni)
 
Mbunge Juliana Shonza wa CCM amesema wanachofanya viongozi wa CHADEMA bungeni ni kama alichokuwa anafanya Herode, kwa kuwa wanamuonea wivu naibu spika kwa kuwa nyota yake inang'aa kama Yesu, na Herode alikufa akamuacha Yesu kwa na CHADEMA itakufa kama ilivyokuwa kwa Herode na nibu spika asiwe na hofu

Kweli siasa si hasa na zinaondoa ufahamu! Yaani mtu unajifanya msoma Biblia mzuri halafu unawaweka Yesu na Muhammad kwenye level moja kwamba "ndio wafalme wa dunia hii"???
 
Yaani huyu Yesu tunaye muabudu kama bwana na mwokozi wetu ndio anafananishwa na mwanamke mbakaji wa demokrasia? Kufuru ilioje hii! Bahati yake wakristo huwa mtu akikufuru tunamwachia Mungu atende kama apendavyo ila namuomba na kesho Shonza atamke kuwa Mtume Muhamad ni sawa na Tulia Naibu spika then majibu yake atayapata.
Nani kamwandikia hilo alilosema? Au katumia akili yake?
 
Achana nae kachanganyikiwa huyo, kuizungumzia Chadema tu huku akijua kua wiotoka kuna ACT,NCCR na CUF. Akafie mbele huko! Bado roho hua inamuuma mpaka leo baada ya kutimuliwa Chadema.
 
Mbunge Juliana Shonza wa CCM amesema wanachofanya viongozi wa CHADEMA bungeni ni kama alichokuwa anafanya Herode, kwa kuwa wanamuonea wivu naibu spika kwa kuwa nyota yake inang'aa kama Yesu, na Herode alikufa akamuacha Yesu kwa na CHADEMA itakufa kama ilivyokuwa kwa Herode na nibu spika asiwe na hofu

Bwn Yesu alitukanwa hakujibu!!
Akapigwa akanyamaza!!
Aliponya wagonjwa!!
Akafufua wafu!!
Busara na hekima zake ni mwongozo wa maisha yetu!!
Huwezi kumlinganisha na mbaka Demokrasia, anayefukuza wabunge kwa Polisi kuwatoa bungeni!!
 
Yaani huyu Yesu tunaye muabudu kama bwana na mwokozi wetu ndio anafananishwa na mwanamke mbakaji wa demokrasia? Kufuru ilioje hii! Bahati yake wakristo huwa mtu akikufuru tunamwachia Mungu atende kama apendavyo ila namuomba na kesho Shonza atamke kuwa Mtume Muhamad ni sawa na Tulia Naibu spika then majibu yake atayapata.
Nani kamwandikia hilo alilosema? Au katumia akili yake?
Mkuu Chakaza,kama huyu jesika Shonza ni Mkristo,basi mimi kama ni paroko au mchungaji wa kanisa analosali,ningehakikisha haingii kanisani mpaka aombe msamaha kwa kubatilisha kauli yake,tena iwe humo humo kwenye bunge la ccm.
 
Back
Top Bottom