Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Leo mkutano wa ccm kidogo uingie dosari baada ya Juliana Shonza kutamka jukwaani kuwa hakuna chama chenye mafisadi wengi kama ccm. Ilibidi ashushwe jukwaani haraka sana!
Inawezekana ulimi uliteleza au alikusudia.
Ukweli hukaa moyoni siku zote lakini lazima utaropoka
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Inawezekana ulimi uliteleza au alikusudia.
Ukweli hukaa moyoni siku zote lakini lazima utaropoka
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums