Juliana Shonza: Hakuna chama chenye mafisadi kama CCM

Status
Not open for further replies.

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Leo mkutano wa ccm kidogo uingie dosari baada ya Juliana Shonza kutamka jukwaani kuwa hakuna chama chenye mafisadi wengi kama ccm. Ilibidi ashushwe jukwaani haraka sana!
Inawezekana ulimi uliteleza au alikusudia.

Ukweli hukaa moyoni siku zote lakini lazima utaropoka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hahahahaaaaaaas na asirudi kwetu sisi hatumtaki abakie hukohuko tu
 
Duh!! Hiyo kali.
Mkuu ilikuwa wapi hapo Arusha na alikuwa anazungumzia nini huyo dada?
 
Posho zinampita kushoto huku akiziona live wajanja wakijimegea.Upuuzi wake ndiyo ulimfanya kwenda CCM
 
Hayo ndo manyinyiem, ukiongea ukweli kazi unayo, watakuandama mpaka basi.

Pole sana Juliana wa Kufyonzwa; Hayo ndo matunda ya unafiki, na utavuna ulichopanda.
 
Pembe la ng'ombe halifichiki. Kudanganya si kazi rahisi...Hata Lipumba anajua na ndio maana aliropoka msikitini juu ya hujuma za uchaguzi 2010.
 
Leo mkutano wa ccm kidogo uingie dosari baada ya Juliana Shonza kutamka jukwaani kuwa hakuna chama chenye mafisadi wengi kama ccm. Ilibidi ashushwe jukwaani haraka sana!
Inawezekana ulimi uliteleza au alikusudia.

Ukweli hukaa moyoni siku zote lakini lazima utaropoka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Duh!

Huyo ni wakumuonea huruma. Usishangae kesho akiamka kucha na meno hana!!! Pia naamini leo vyumbani walipo fikia hapata tosha. Kesho asubuhi tuliopo Segera lazima tutamuona kwenye Dar Express.
 
Duh!! Hiyo kali.
Mkuu ilikuwa wapi hapo Arusha na alikuwa anazungumzia nini huyo dada?

Mkutano ulikuwa kaloleni mtaa wa kituo cha mabasi ya kampala coach!
Alipopanda jukwaani alianza kwa salamu za chama na kusema kuwa ndugu zangu hakuna chama Tanzania chenye mafisadi wengi kama ccm.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom