Julian Assange and our Jerry Muro.....

Gangi Longa

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
275
135
Aren't the two related? wait a minute they both whistle blew the secrets of the Governments hence crossing the line of Authority with their freedom of speech! What do we learn from their saga? where is transparency the West is advocating? we have to see the signs now and not tomorow...
 
kivp? mmoja amekamatwa kwa alleged corruption na mwingine kwa alerged sex violence (rape) but both are set ups from victimized Governments....
 
Kwa kuangalia namna ambavyo kesi zao zimeibuka wanafanana. Ya Muro iliibuka baada ya kuanza kufichua maovu katika Tz, na ya Assange imeibuka baada ya kufichua siri nyingi za kidiplomasia serikali ya Marekani. Yawezekana kweli watu hawa wana makosa (hapo ni jukumu la mahakama kuamua), lakini kwanini kesi hizo ziibuke wakati huo?
 
Kwa kuangalia namna ambavyo kesi zao zimeibuka wanafanana. Ya Muro iliibuka baada ya kuanza kufichua maovu katika Tz, na ya Assange imeibuka baada ya kufichua siri nyingi za kidiplomasia serikali ya Marekani. Yawezekana kweli watu hawa wana makosa (hapo ni jukumu la mahakama kuamua), lakini kwanini kesi hizo ziibuke wakati huo?

Bwana Mdogo Muro amezidi kuwa mpole, hivi wana JF mimi nadhani Muro angetakiwa kuendelea na Vita ile aliyo ianza hata kama sio TBC basi kungineko au hata angetengeneza vipindi binafsi halafu akauza kipindi kwenye TV yeyote kama General On Monday kilivyokuwa, kama swala ni kuwezeswa basi tutachanga kwani vita aliyoianza si yake pekeyake ni yetu sote na katika vita kuna vikwazo, angetegemea yamtokee yaliyo mtokea, na ategemee zaidi ya hayo, namshauri asikate tamaa. Jerry Aruta ......
 
Kumbe ata ulaya mambo ya kubambikiana kesi yapo hasa serikali inapokuwa imeanikwa!
 
These two case are very related in the sense that the motives for their cases is one and the same, to silence the whistle blowers. I doubt if we will ever see Muro again with his same spirit that he had shown before being involved in the corruption case.

However the two individuals operate on different scales and environment, ours (Muro) is one where you could lose life without trace and the perpetuators go unpunished while Julian is much safer as no one will ever temper with his life without facing the full music. I doubt if we have journalists who would dare deal with scandals of the Water Gate scale and or the WikLeak type and remain alive for 20 moons.
 
Back
Top Bottom