Jukwaa la watu kutoka Burundi

Ila warundi mungu anawaona....mnaongoza kwa utekaji na ujambazi kigoma na katavi..mna wa sponsor majangili silaha kuingia hifadhi za taifa wakifanya matukio wanakimbilia Burundi....vitoto vidogo vinajua milio ya silaha nyingi za kivita kuliko kusoma na kuandika, ikipigwa unaskia kanasema iyo ni Ak47, iyo ni smg iyo ni machine gun etc..
 
Ao unao kutana nao ndio hawajiamini, mimi najiamini na vile vile I'm proud to be a burundian ndio maana ata jukwaa nimelianzisha mimi
Jamani nilienda Burundi tukaletewa zile ngoma zao za asili duh...jamaa wanajua hadi raha.
 
Back
Top Bottom