Jukwaa la Wakristo Wapo KKKT Kanisa Kuu Dodoma Wanamjadili Kikwete sasa hivi

Kila lakheri viongozi wetu...

Nchi ikiwa na ombwe la uongozi, viongozi wa dini hutegemewa kuwavika ujasiri na kuwaongoza waumini wao ili kuvuka salama ktk kipindi husika. Viongozi wetu wa mnatimiza wajibu wenye sawasawa na mnavyotakuwa kutenda.

BACK TANGANYIKA
 
Hujasomeka wanapaswa kwanza kukemea Kova.

Kwa kuendelea kumdhalilisha Askofu lwajima. Nashangaa mbaka sasa hakuna tamko lolote juu ya mashwaibu ya Gwajima
 
Jukwaa la Wakrito linalo jumuisha CCT,TEC na CPCT hawana imani na kauli ya Kikwete na Watawala wa CCM juu ya matamshi yao Kuhusu Mahakama ya Kadhi.
Mwaka juzi Kikwete alitoa tamko kama hilo lakini akaendelea na mchakato sasa leo wapo hapo wanamjadili Kikwete na CCM

Naiona heshima ya Gwajima ikijijongeza tartiiiiiibu, kibogoyo sijui itakuwaje.
 
Kama itapasa waseme kama Kauli ya mwadhama cardinal Pengo na rais Kikwete imebadili msimamo wao kuhusu katiba mpya.
Ikifaa zaidi watoe neno kuhusu hali ya kiafya ya askofu mwenzao Gwajima.
 
Kila lakheri viongozi wetu...

Nchi ikiwa na ombwe la uongozi, viongozi wa dini hutegemewa kuwavika ujasiri na kuwaongoza waumini wao ili kuvuka salama ktk kipindi husika. Viongozi wetu wa dini mnatimiza wajibu wenu sawasawa na mnavyotakuwa kutenda.

BACK TANGANYIKA
 
Tatizo ni pale mwenyekiti wa chama anapokuwa raisi. Tamko la chama analitoa kama raisi na tamko la raisi analitoa kama mwenyekiti wa chama.
 
Tatizo ni pale mwenyekiti wa chama anapokuwa raisi. Tamko la chama analitoa kama raisi na tamko la raisi analitoa kama mwenyekiti wa chama.

Hili ni tatizo la utashi wa yeye mwenyewe binafsi na akili yake ya kutosikiliza mawazo ya watangulizi wake na kuwafanya raia wote bongo lala, mbona wenzake hawakufanya haya anayoyafanya, hii ndiyo shida ya kutaka umaarufu hata kwa mambo yasiyowezekana
 
Kila lakheri viongozi wetu...

Nchi ikiwa na ombwe la uongozi, viongozi wa dini hutegemewa kuwavika ujasiri na kuwaongoza waumini wao ili kuvuka salama ktk kipindi husika. Viongozi wetu wa mnatimiza wajibu wenye sawasawa na mnavyotakuwa kutenda.

BACK TANGANYIKA

Viongozi wa nchi hii ni miyeyusho tu, hawana uhakika na wakiseamcho, huongea ili kuridhisha wajinga kwa muda mfupi. chunga sana hawa watu
 
Tatizo ni pale mwenyekiti wa chama anapokuwa raisi. Tamko la chama analitoa kama raisi na tamko la raisi analitoa kama mwenyekiti wa chama.
Wazalendo waliliona hilo natayari wameonyesha jia. Hongera ACT!
 
Back
Top Bottom