Watu wanaongelea habari za msiba, wewe unaleta habari za dini fulani, hivi wewe kweli una akili??hiyo inaitwa kibanga ampiga mkoloni. Toka jana nasema hawa waandishi pia ni tatizo. Huwa wanajifanya kimbelembele sana tena sana hasa hawa wahariri kwa kupindua pindua au kutoandika kabisa habari za waislam, ivi na kikao cha kutoandika au kugeuzageuza habari za waislam walikaa ni lini na tatizo ilikuwa ni nini? Hao wahariri si ndio wale waliambiwa na mwarabu wa richmond waache kamera zao nje? Hao wahariri njaa wanafiki wakubwa, wahariri wamejikita kuandika mambo ya kugombanisha umoja wa watanzania. Wahariri hata wakijifanya eti wameweka hivyo vikwazo je na watbc hawatoripoti? Tbc iko nchi nzima na wanawaandishi wao pia jeshi lina waandishi wao. Kama wanaubavu wageuze habari yoyote ya polisi waiandike tofauti na ilivyotokea tuone itakuwaje. Wahariri wanafiki
Umesema kweli Morenja, tungegoma kuandika habari zozote nzuri za polisi isipokuwa zile za maovu yao
Hivi kutikuandika habari za polisi ni kuliadhibu jeshi la polisi au kuwaadhibu watu wanaohitaji hizo habari?
Not possible hapa
kilicho maanishwa ni habari zile zinazoletwa na jeshi la Polisi ili kuelezea mema yao kwa jamii.
Apa ilibidi kugomea habari zinazohusu serikali kwa ujumla
Tana hata polisi jamii wanayodanganya nayo wananchi, tunapiga chini.
Mkuu Ze Marcopolo, naomba unikumbushe lini na wapi niliwahi kusema "waandishi hawaandiki kitu mpaka wapewe "bahasha"?.Nakumbuka Pasco alisema waandishi hawaandiki kitu mpaka wapewe "bahasha ya khaki". Hapa huu mgomo unachodai ni dau la bahasha kuongezwa tu. Watu wazima washaelewa tatizo liko wapi.