Jukwaa la Wahariri (TEF) wamkalia kooni Prof Lipumba

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Jukwaa la Wahariri(TEF) limelaani tukio la Waandishi wa Habari kupigwa kwenye mkutano-CUF. Lamtaka Prof Lipumba atoe kauli juu ya tukio hilo

C-U10NMXsAAlgK7.jpg

C-U10scXYAA8Gk0.jpg
 
Waache kumuandika tu huyu prof. Njaa. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu kiasi hiki!!?

Nafurahi kwamba kuna baadhi ya vituo vya TV vimemuumbua Abdul Kambaya kwa kauli yake kwamba eti walinzi wao ndiyo walioshambuliwa. Vituo hivi vimeonyesha yule jamaa kabla ya kudhibitiwa kamera zimemuonyesha akiwa anatembeza mkong'oto wa kufa mtu kwa kila raia aliyekuwa mbele yake.
 
Hivi Lipumba alikuwa anafundisha chuo kikuu kweli?basi ndio maana uchumi wetu uko hivi

Huyu na Bashite ndio wanafanya watu wasione umuhimu wa kusoma,simtofautishi na prof majimarefu
 
Back
Top Bottom