Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,211
- 113,520
Taarifa zinazonifikia sasa hivi ni kuwa kuna dada mmoja rafiki wa rafiki yangu uhusiano wake wa kimapenzi umevunjika. Kisa na mkasa yeye na patna wake wamestukiana kuwa wako humu kwa kutumia multiple ids na wamekuwa wakidanganyana hadi kufikia hatua ya kutumiana pm ndipo walipogundua kuwa ndio hao hao