Jukwaa la Katiba latangaza Maandamano ya amani nchi nzima

hahahahaha! shibe kitu kibaya sana umekaa katika computer unawachochea wenzako waandamane.Maandamano yatafanyika tu endapo yataruhusiwa vinginevyo hakuna wa kuingia barabarani wote waoga na wenye kuyafurahia maisha.Unawadanganya wenzako eti upo tayari kufa,kwa jaribio lipi uliwahi kufanya ili tuamini upo tayari kufa kwa ajili ya watz.Yakizuiwa huyo kibamba kama mtamuona.Punguzeni kupayuka
poopy.gif
 
Siamini kama hii mada imepidishwa kiasi hiki. Does this mean watanzania wamechoka kuandamana au ni mpango mkakati wa kudivert important issues??..
 
Waandamane na wakiweza wafike Tahrir Square lakini hakuna katiba inayotengenezwa kwa vitisho, labda kama ni katiba ya NGO yao. Yeye ni nani kutaka kupora mchakato wa watu milioni 40?
 
Kwa pamoja tunaweza!!! Ni muda mwafaka wa kuamua kwa sauti moja kudai katiba ya nchi yetu tutoke wote hyo tarehe 26 siku ya Jumamosi tupaze sauti zetu kwa nguvu kuwa tunataka kuandaa na kuandika katiba ya wananchi na sio katiba ya ccm waliyopitisha mswaada wake wiki iliyokwisha.
 
Jamani kuna sehemu ya kushare humu Jf? nataka kushare na wa2 wa fb wanaodiscuss mapenzi na sex kutwa nzma ndo 2nashndwa kuandama kazi kuwaza ngono! kama hamna pa kushare Jf fanyeni kampango basi
NAUNGA MKONO HOJA 100%
 

We jamaa ni wa upande wa wakusanya kodi wanaokesha Bar wakilewea kodi ya mtz aliyeshnda juani au anayekesha uchi barabarani ili kukufanya ww ushbe na akili yako ya kucharge ikuongoze kuandka ujnga wa kukatsha tamaa wa2! kaa kmya na wa2 wenye mamazo kama yako wapo huko wanavuana Magamba!

Mwsho NAUNGA MKONO HOJA
 
kwanza tupewe mazoezi ya kivita na kuhimili hali ngumu na tatanishi...pili watuvutishe bangi yaaani risasi tuone kama maji tu

Hakuna haja ya mazoezi ni maandamano ya amani tu.ila naomba nishauri kitu kimoja,wale tunaomiliki nyumba,kama umempangisha polisi mpe notice kabisa ikiwezekana kama bado anadaii mpe pesa yake kabisa ili baada ya kutekeleza amri ya mabwana zake kutupiga mabomu wamtafutie pa kuishi yeye na familia yake.wasipompa tutapata nafasi ya kushughulika nao kivingine
 
Nyie andamaneni tu alirimradi hamuungilii mishemishe zetu za kutafuta faranga, halafu tuone mwisho wa hizo politiki zenu mtakula nnnnnini?

Yaani wewe unachokifikiria ni kula tu? Kula peke yake is not kila kitu bana. This is about Power. People's Power. Afterall ukiwa kama mlalahoi, what do U eat? Magamba wanakula a million times better than U! So U got nothing to lose, don't worry ,join the streets,and welcome to Tahrir square together we can make it happen
 
kama watu wataingia mtaani jumamosi kuna maandalizi gani mliopanga kukabiliana na dola kwa maana kama
unavyoona waziri wa mambo ya ndani anajaribu kuipa sura(elevate) issue ya alshabab nia na madhumuni yake ni
kupiga marukufu kwa kutumia kivuli cha alshabab sasa basi kuna mipango gani ya kuakikisha pamoja na polisi kutumia
nguvu ya dola ambayo invetable bado tutaakikisha tunafikia malengo naomba kujua mikakati .je umeshafanya juhudi
zozote na vikundi vingine vyenye malengo safi kama haya ili kuunganisha nguvu kwa maana umoja ni nguvu na utengano
ni udhaifu ???
 
Mie ntaenda vaa Joho langu UDOM then narudi fasta kuingia rodini hili halina mjadala wakuu
 
Ngoja niandae pakacha langu la msosi coz nategemea maandamano yakudumu kama yale ya Benghazi ya kupiga kambi kabisa!
 
Back
Top Bottom