Jukwaa la Katiba latangaza Maandamano ya amani nchi nzima

What is the main theme backing those demonstrations? Protesting against what?
 
Amini usiamini Muda wa mapinduzi ndio sasa Jukwaa la katiba wamekinukisha tena hii sasa hakuna cha al shababu wala cha alshabibi kitaeleweka tu
 
Ni tarehe 26 Nov 2011 Jumamosi Jitokezeni wadau

Nawasilisha

Jamani mbona mnafanya JF kama kijiwe cha wahuni?
Hili suala linagusa maslahi ya Taifa kwa nini unashindwa kuweka taarifa iliyokamilika mkuu?
Kwa kufanya hivi kwa kweli tunapoteza kabisa mwelekeo na malengo ya waasisi na wadau wa Forum hii.
 
BAADHI YA WAZEE WALIOWAHI KUVUMAA HUKO CCM WADAIWA KUKACHA VIKAO VYA NEC DODOMA BAADA YA KUNUSA HARUFU ZA FEDHA HEWANI NA POTEZESHA DIRA MKUTANO MZIMA NA VILE VILE 'MUSWADA WA MAKINDA' KUONEKANA SUBILI

Eti mkutano wa CCM Dodoma; hakuna kitu pale na ni bure kabisa!!! Swala lote la gamba kuvuka limegoma mara baada ya kuloweshwa na utitiri wa vijisenti na kuwa ngumu na kunata zaidi mwilini. Hiyo ndio maana baadhi ya wazee wa chama hicho wakaamua kujitunzia heshma zao mbali yale yanayoendelea huko.

Kuna ugomvi mkali mno wa makundiunaoendelea ndani CCM hadi dakika hii lakini yote yanaendelea hivi sasa nyuma ya pazia.

Nasema ugomvi hatari ya kuwahi kutokea CCM unaendelea kupamba moto hadi kakika hii tunavyoendelea kuandika humu.

HAKUNA tena mwenye ubavu wa kufungia paka fisadi kengele baada wale wazee wenyewe kusikia ukigeugeu na unafiki kutoka Magogoni hdi wakaamu kujiweka kando na mkutano wa NEC CCM kule Daodoma ambao kwa maelezo yao ni kwamba hauna dira.

Vile vile kuna taarifa kwamba nako nyumbani kwa wana CUF nako si shwari kote Bara na Visiwani kutokana na uamuzi wao kuunga mkono muswada uliowaondolea kabisa matumaini wananchi wa pande zote mbili.

Kama mtu bado anasubiri zaidi moshi wa kijani na zambarau kuhusu BOMU linalowasubiri hadi hivi sasa basi kajikalie hapo. Mama Anna Makinda wabunge wa CUF huku Dodoma wamevimaliza kabisa hivi vyama viwili vya CCM na KAFU; hakuna tena kitu pale!!
 
What is the main theme backing those demonstrations? Protesting against what?

the fundamental principles of the call is constitutional change, the protesting is against the conservatism of the MP toward constitutional change especially the MPS of the said ruling (dictating) party CCM
 
BAADHI YA WAZEE WALIOWAHI KUVUMAA HUKO CCM WADAIWA KUKACHA VIKAO VYA NEC DODOMA BAADA YA KUNUSA HARUFU ZA FEDHA HEWANI NA POTEZESHA DIRA MKUTANO MZIMA NA VILE VILE 'MUSWADA WA MAKINDA' KUONEKANA SUBILI

Eti mkutano wa CCM Dodoma; hakuna kitu pale na ni bure kabisa!!! Swala lote la gamba kuvuka limegoma mara baada ya kuloweshwa na utitiri wa vijisenti na kuwa ngumu na kunata zaidi mwilini. Hiyo ndio maana baadhi ya wazee wa chama hicho wakaamua kujitunzia heshma zao mbali yale yanayoendelea huko.

Kuna ugomvi mkali mno wa makundiunaoendelea ndani CCM hadi dakika hii lakini yote yanaendelea hivi sasa nyuma ya pazia.

Nasema ugomvi hatari ya kuwahi kutokea CCM unaendelea kupamba moto hadi kakika hii tunavyoendelea kuandika humu.

HAKUNA tena mwenye ubavu wa kufungia paka fisadi kengele baada wale wazee wenyewe kusikia ukigeugeu na unafiki kutoka Magogoni hdi wakaamu kujiweka kando na mkutano wa NEC CCM kule Daodoma ambao kwa maelezo yao ni kwamba hauna dira.

Vile vile kuna taarifa kwamba nako nyumbani kwa wana CUF nako si shwari kote Bara na Visiwani kutokana na uamuzi wao kuunga mkono muswada uliowaondolea kabisa matumaini wananchi wa pande zote mbili.

Kama mtu bado anasubiri zaidi moshi wa kijani na zambarau kuhusu BOMU linalowasubiri hadi hivi sasa basi kajikalie hapo. Mama Anna Makinda wabunge wa CUF huku Dodoma wamevimaliza kabisa hivi vyama viwili vya CCM na KAFU; hakuna tena kitu pale!!

wakfie mbali hapana taka uchafu
 
Nyie andamaneni tu alirimradi hamuungilii mishemishe zetu za kutafuta faranga, halafu tuone mwisho wa hizo politiki zenu mtakula nnnnnini?
 
Jamani mbona mnafanya JF kama kijiwe cha wahuni?
Hili suala linagusa maslahi ya Taifa kwa nini unashindwa kuweka taarifa iliyokamilika mkuu?
Kwa kufanya hivi kwa kweli tunapoteza kabisa mwelekeo na malengo ya waasisi na wadau wa Forum hii.

Mkuu tusubiri taarifa kamili saa 12 hii ni just brief info
 
iwekwe hapo juu kama update hii taarifa

True Dat nashangaa nimeanzisha thread mpya ya kutangazwa maandamano ya amani mods wameijumlisha na ya jana sasa hata sijui ndo nini basi wangeweka update juu ya hii sredi,maana context ya sredi ni tofauti na heading
 
Magamba ya ajabu.Yakiguswa yanapiga shot kama ya umeme!Watu wanaogopa kuungua aisee.
 
Back
Top Bottom