Jukwaa la chit chat matatani

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
Sababu kuu ni kutoonekana kwa wana jamvi muda mrefu
mbwembwe tu nimewamis sana aisee wana chit chat
nawasalimu sana nawapenda sana siku mbili hizi nimebanwa sana hahahaahahaha

ukitaka kunzodoa nzodoe tu nshawafikishia ujumbe wangu

wasaalimu mtoto mzuri Nivea
 
Last edited by a moderator:
hilo nalo neno,
ila kwa sasa nakuja kivingine kabisa,
sitaki tena ambao hawana ndoa
kwa kuwa kuna baadhi ya vitu hawavijui kabisa.

ha haaa, pole sana best.......
jipange vizuri sasa usije ukapata tena ambaye anakupenda nusu nusu, maana hakawii kukuacha akiona mwingine
 
hilo nalo neno,
ila kwa sasa nakuja kivingine kabisa,
sitaki tena ambao hawana ndoa
kwa kuwa kuna baadhi ya vitu hawavijui kabisa.
du! una mpango wa kukwapua mume wa mtu? au kujibanza uwe muke wa 2? au utaka kuanzisha sacoss kama ya Madame B?
 
Last edited by a moderator:
nitonye habari yako rafiki yangu
mambo yanakwendaje lakini.

Mamndenyi usijali nipo serengeti boy hapa nitakupa mahaba motomoto acha na vibabu!!!!nakuhakikishia utapata hati ya nyumba,cadi ya gari(full tank 24/7),show zote za ngwasuma,mapacha watatu,jotohasira etc utahudhuria,watoto wote uliozaa na hivyo vibabu nitawapeleka nje kusoma!!!!!!
wako katika Mapenzi ya dhati Innobwoy!!!
 
Last edited by a moderator:
serengeti boy sitaki kabisa
nani anataka shida

Back
Top Bottom