Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,459
- 4,748
ha haaa, pole sana best.......ha ha haaaa
mimi sina nimeachwa majuzi kati
ndo najipanga tena upya.
ha haaa, pole sana best.......
jipange vizuri sasa usije ukapata tena ambaye anakupenda nusu nusu, maana hakawii kukuacha akiona mwingine
du! una mpango wa kukwapua mume wa mtu? au kujibanza uwe muke wa 2? au utaka kuanzisha sacoss kama ya Madame B?hilo nalo neno,
ila kwa sasa nakuja kivingine kabisa,
sitaki tena ambao hawana ndoa
kwa kuwa kuna baadhi ya vitu hawavijui kabisa.
Keleuiwiiiiii!!!!hilo nalo neno,
ila kwa sasa nakuja kivingine kabisa,
sitaki tena ambao hawana ndoa
kwa kuwa kuna baadhi ya vitu hawavijui kabisa.
nitonye habari yako rafiki yangu
mambo yanakwendaje lakini.
Mamndenyi usijali nipo serengeti boy hapa nitakupa mahaba motomoto acha na vibabu!!!!nakuhakikishia utapata hati ya nyumba,cadi ya gari(full tank 24/7),show zote za ngwasuma,mapacha watatu,jotohasira etc utahudhuria,watoto wote uliozaa na hivyo vibabu nitawapeleka nje kusoma!!!!!!
wako katika Mapenzi ya dhati Innobwoy!!!