Jukwaa huru lalaani viongozi kuleta siasa kwenye mambo ya maendeleo

Andrew Kadege

Member
Jan 1, 2016
6
5
*JUKWAA HURU LA WAZALENDO TANZANIA*

_*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*_

" _TAMKO LA KULAANI KITENDO CHA MEYA WA JIJI KULETA SIASA KWENYE MAENDELEO NA USALAMA_"
*Ndugu waandishi wa habari*
Jukwaa limewaita mahali hapa kueleza masikitiko na kulaani kitendo cha Meya wa Jiji la Dar es Salaam Ndugu Mwita kutaka kuwapotosha kwa makusudi wananchi wa Dar es Salaam na Taifa kwa ujumla juu ya agizo halali la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda.

Mtakumbuka kuwa hivi karibuni Ndugu Makonda katika kuhakikisha wananchi wa mkoa wake wanatambulika ili kufanikisha mipango mbalimbali ya Serikali na baada ya mashauriano na wataalamu wake alitangaza zoezi la kuchukua taarifa za kaya.

Hata hivyo ndugu wana habari Jukwaa limesikitishwa na kuibuka kwa Ndugu Mwita ambaye badala ya kuunga mkono zoezi hilo au kusaidiana na viongozi wenzake yeye ameibuka na kufanya harakati na siasa za kubeza ubunifu huo.

Kauli hiyo ya kiharakati ya Meya Mwita imekuja wakati ambapo hata mmoja wa walezi wa Ukawa, Ndugu Edward Lowassa akiwa amekemea na kuonesha kuchoshwa na siasa za kiharakati badala ya zile za maendeleo.

Jukwaa linakemea vitendo vya namna hii ambavyo vinarudisha nyuma jitihada za dhati za Serikali ya Awamu ya Tano na kuchelewesha jitihada za serikali katika kuhakikisha wananchi wake wanakijikwamua kiuchumi kwa sababu ya siasa tu.

Katika kuonesha yeye si mtu wa Maendeleo na wala hana umakini zaidi ya uanaharakati Meya Mwita ameandika kuwa wananchi wasitii agizo hilo kwa sababu halina kibali cha kuwapekua wananchi kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.

Meya amelaghai umma. Sheria aliyoitaja inaainisha utaratibu wa masuala mbalimbali kunapokuwa kumetendeka makosa mbalimbali ya jinai.

Swali; ni wapi agizo la RC Makonda limetamka kwamba Jeshi la Polisi likawakague watuhumiwa wa Makosa ya Jinai?

Ndugu wanahabari ni watuhumiwa pekee wa makosa ya jinai ndio wanaotakiwa kukaguliwa kwa mujibu wa sheria hiyo aliyoitaja Meya Mwita.

Agizo la RC Makonda liko wazi na linelenga kuwatambua wananchi wake katika kaya ili kuweza kupanga mipango ya kuwahudumia kama ambavyo pia mazoezi kama hayo yameshafanyika katika miji mikubwa duniani kama vile London, Paris na hata Berlin.

Ndugu wanahabari tunaweza kujikumbusha katika kuona kuwa Meya Mwita ametoa kauli ya ajabu sana katika zama hizi kwa kukumbushana kuwa mara kadhaa mazoezi kama sensa na tafiti mbalimbali za ngazi ya kaya vimefanyika bila wahusika kuwa na kibali cha upekuzi kama Meya anavyopotosha.

Ndugu wanahabari, Jukwaa linajaribu kuhoji tuna viongozi wa namna gani ikiwa wanashindwa kujua na kutofautisha kati ya siasa na maendeleo?

Agizo la RC Makonda ni halali na halihitaji kibali kwa sababu hili si suala la kisiasa bali ni maendeleo ya wananchi wenyewe na ni sehemu ya maisha ya kawaida kuchukua taarifa za kaya pia kwa ajili ya usalama wa raia na mali zao.

Jukwaa Huru linapenda kuwaambia umma wa Watanzania na wananchi wa Dar es Salaam kuwa duniani kote maendeleo ya watu huletwa na tafiti.

Tunawaasa na kuwasihi wana Dar es Salaam na kote Tanzania litakakofanyika zoezi hili na mengine wananchi tutoe ushirikiano kwani kupanga ni kuchagua na tunahitaji takwimu kwa maendeleo yetu hasa wakati huu ambapo Serikali inataka kuanza ugawaji wa Sh. Milioni 50 kusaidia maendeleo ya kaya.

Ahsanteni sana.

*Imetolewa* _17/07/2016_ DSM.

*Andrew Kadege*.
0756 911 342
M/kiti wa Jukwaa Huru La Wazalendo Mkoa Wa DSM .
 
Attachments

  • IMG-20160717-WA0140.jpg
    IMG-20160717-WA0140.jpg
    109.1 KB · Views: 39

Kuna kazi zingine ni za NBS.
 
Nafikiri mkuu wa mkoa angefanya jitihada za kuupanga mji wa dar es salaam kwanza. Ili huduma za kijamii kama barabara na maji safi yawafikie wananchi. Sewage system zikae vema kipindupindu kingeondoka. Pia ingesaidia kuondoa msongamano dar.
 
Kazi kweli kweli kwahiyo hili jukwaa kazi yake ni kutetea tu kila kitu,hili jukwaa sijui limetokea wapi
 
Kwani hao hawakuteuliwa kwenye teuzi za magu?
 
Tamko la Egneciou.s hili baada ya Lizab.ony kufanya yake jana! Hata kwa OMO au Detal,uchafu hautiki!!
 
Badilisheni title ya jukwaa lenu liieteni jukwaa la ccm.
 
Kwa hiyo unamaanisha Makonda anaendesha zoezi la sensa? Hizo takwimu hawezi kuzipata pale NBS? Tuache kusumbua wakazi wa Dar, waacheni watu wachape kazi! Meya yuko sahihi!
 
Alafu vyombo vyenyewe vya habari ni channel ten na clouds tu?vituo pendwa vya mhe sana makondaktaa
 
Baada ya kuona mwampamba kateuliwa sasa nawe unalazimisha upate uteuzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom