Jukwaa hili ni hot cake

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
MODS tunaomba muanzishe jukwaa la vikombe Tanzania.
Maana sasa hivi vikombe vinaibuka kila mkoa, wilaya , kata , mtaa na sasa vitakuwa nyumba kwa nyumba ,
So ikiwa kama issue endelevu inahitaji jukwaa
 
Na upepo huu waweza vuka hata mipaka kwa majirani zetu kwa mwendo huu!
 
Vikombe gani unazungumzia vya chai au??

Halafu Nata leo umekula supu ya pilipili nini maana thread zako mmmmhhh........................
 
Jamani da Dena we unadhani ni vikombe gani kama si vile kama cha babu loliondo?
 
MODS tunaomba muanzishe jukwaa la vikombe Tanzania.
Maana sasa hivi vikombe vinaibuka kila mkoa, wilaya , kata , mtaa na sasa vitakuwa nyumba kwa nyumba ,
So ikiwa kama issue endelevu inahitaji jukwaa

vikiibuka vijiko navyo tutavianzishia jukwaa.
 
Back
Top Bottom