KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,301
- 739
Habarini za mwaka mpya wanajamii forums.leo ningependa tujuzane hapa ni jukwaa lipi ambalo kila ukilog in jamii forums hulikumbukagi kabisa au una kipindi kirefu ujawahi lifungua....kwangu mimi ni majukwaa haya
1.jukwaa la dini
2.jamii chit chat
3.JLW
YAANI HAYO majukwaa ningekuwa moderators sidhani kama yangekuwepo tena...je wewe ni jukwaa lipi ujawahi kulifungua au kulipitia Kw kipindi kirefu
1.jukwaa la dini
2.jamii chit chat
3.JLW
YAANI HAYO majukwaa ningekuwa moderators sidhani kama yangekuwepo tena...je wewe ni jukwaa lipi ujawahi kulifungua au kulipitia Kw kipindi kirefu