Jukumu la kusomesha mtoto ni la mzazi wala sio serikali

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
46,870
122,104
Karibuni wana jamvi tujadili hii habari

IMG-20170515-WA0002.jpg
 
Ni kweli n jukumu la mzazi kuhakikisha Mtoto wake anapata elimu. Serikali inajukumu la kuhakikisha inatengeneza Sera, sheria na taratibu nzuri pamoja na vipaumbele vyake ili kuhakikisha kila mtoto anasoma mpaka kiwango atakachoweza/kidhi.

Kuhusu suala la ufadhili/mikopo; ni kweli twafahamu sio kila aombae ni lazima apewe vipo vigezo na sababu zinazoweza kufanya upate au ukose.

Ni vyema katika utoaji wa hiyo mikopo walau yale makundi maalumu yafikiwe ili kuepusha manung'uniko.

Kuhusiana na ufinyu wa bajeti, tujaribu kuangalia ni wapi panamwanya wa upotevu wa mapato ili kuweze kukuza pato la taifa. Na vyanzo vitakavyobuniwq viwe ni vya uhakika.
 
Back
Top Bottom