Jukumu la kumsafisha mtoto pale anapojisaidia ni la mama peke yake?

Mimi sijawahi kutawaza mtoto yeyote. Lakini hawa mabinti zangu huwaambii kitu kwa baba yao. Tunazungumzia mabinti wakubwa wako chuo....

Kwahiyo nazungumzia uzoefu hapa. Mabinti kwa baba zao hawapumui bila kujalisha umefanyaje. Waacheni wanawake wafamye kazi zao, watoto watakupenda na kukujali kama utatimiza majukumu yako ya ubaba.

Tusipopeana mipaka ya majukumu iko siku binti atakuomba umnunulie chupi....

Trust me
Kwahiyo binti yako akikuomba umnunulie chupi hautamnunulia? Wa miaka mingapi? Binafsi binti yangu naanza kujitenga naye kuanzia miaka 10 kwasababu najua hapo anytime anavunja ungo.

Chini ya 10 years hata chupi namnunulia akiomba,Ila kwasababu kwa miaka hiyo anatakiwa kujifunza kazi,siwezi kumfulia au kuigusa baada ya kuanza kuivaa. Watu MNA guilty mind kwasababu mioyo yenu imejaa uovu mnawaza hadi kwa watoro wenu. How can you?
 
Kwahiyo binti yako akikuomba umnunulie chupi hautamnunulia? Wa miaka mingapi? Binafsi binti yangu naanza kujitenga naye kuanzia miaka 10 kwasababu najua hapo anytime anavunja ungo.

Chini ya 10 years hata chupi namnunulia akiomba,Ila kwasababu kwa miaka hiyo anatakiwa kujifunza kazi,siwezi kumfulia au kuigusa baada ya kuanza kuivaa. Watu MNA guilty mind kwasababu mioyo yenu imejaa uovu mnawaza hadi kwa watoro wenu. How can you?
Bila kujalisha umri wake. Siwezi abadan kumnunulia chupi binti yangu kama mama yake yuko hai. SINUNUI
 
We msafishe mtoto, mi naenda kutafuta chakula chako na cha mtoto ili mtoto na wewe mpate kunya vizuri

Tangu Samia awe Rais naona wamama wamecharuka kwelikweli. Na Hapo bado Tulia hajawa Spika.
😂 😂 😂
 
Habar JF

Wote tunajua kuwa suala la kulea mtoto ni jukumu la wazazi wote baba na mama, hakuna kitu kinaboa na kuchosha kama kuhakikisha mtoto yupo msafi muda wote, wakina mama hubadilisha nepi hadi huchoka na kuamua kuacha tu na kuangalia unakuta dogo nguo yake imeloa mikojo na wengine hadi inaanzia kutoa harufu.

Zishukuriwe pampasi kwa sababu hiyo mtoto akipigwa kuja kumtoa sio leo.

Wababa wengi huwa hawapendi kabisa kuwasafisha watoto wao pale wanapokuwa wameharibu mambo iwe haja kubwa au ndogo ila hasa hasa haja kubwa hii ndogo anaweza akavumilia.

Unakuta baba kashika mtoto au anacheza na mwanaye yaan dogo akishajisaidia tu utamsikia we mama fulani mwanao amejinyea huku njoo umchukue.Baba yeye anapenda kucheza na mwanaye akiwa msafi tu akishaharibu mambo kosa hilo.

Kwani baba fulani ukimsafisha utapungukiwa na nini huwezi kumsafisha mtoto wako hadi umuite mama watoto??au kumsafisha mtoto hilo ni jukumu la mama peke yake baba halimuhusu??

View attachment 2076938

View attachment 2076939

View attachment 2076940

View attachment 2076942

View attachment 2076943

View attachment 2076944

View attachment 2076945
Wanawake wa kileo ni wajinga sana. Ulalamike mwanaume akuhudumie wewe na familia na maneno na ya kejeli juu "tafuta hela" alafu bado hata kumuogesha mtoto mwanaume ndio aje amuogeshe., aise the degree of stupidity in this post is as huge as mount Evarerest and beyond.
 

Attachments

  • headless.jpg
    headless.jpg
    44.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom