juisi ya nyanya

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,723
5,899
nyanya zitaandaliwa kutegemea na idadi ya watu..
matayarisho:
andaa nyanya zilizoiva kwa kuziosha vyema kisha zimenye halafu weka kwenye blenda au unaweza kutumia kinu kidogo kuponda ponda na kuhakikisha imekuwa rojorojo kabisa, weka chumvi na limao kiasi kisha chuja ili kutoa mabaki mwisho ongeza maji kidogo kupata kiminika kizuri...juisi yako itakuwa tayari...unaweza kutumia na kitafunwa chochote .
 
Nahisi kuna kakiungo kamesahaulika (Pilipili) kanachangamsha ukinywa koo lote kama limepigwa msasa.
 
Hii thread nilikuwa sijaiona asante mtoa mada nimeisha tuma mtoto anunue nyanya.isipokuwa mimi huwa natia chumvi kwa mbaaali.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom