Juice Juisi ya Kuua Toksini (Athari Za Sumu) - Detoxifying Juice

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,704
Mwili wa binadamu huzalisha sumu kulingana vyakula tunavyokula hii ni njia moja wapo kuondosha sumu kwa haraka sana.
Juici ya Kusafisha Detoxifying(1).jpg

MAHITAJI
Majani ya Kale (kale leaves) - 3
Brokoli pamoja na miche yake - ½ msongo
Kabeji iliyokatwa pamoja na zizi lake - ½
Nyasi majani (fennel) -1
Tufaha (apples) - 2

Namna Ya Kutayarsiha
Katakata vitu vyote vipand weka katika bakuli
Tia katika mashine ya kukamua juisi, washa mashine ikamue juisi.

Mimina katika gilasi ikiwa tayari kunyiwa.

Juisi hii ni ya kuondosha athari za sumu (toxins) zinazokusanyika mwilini na kusababisha maradhi mbali mali. Kutumia kwake kila baada ya muda kunasaidia kusafisha damu na kumihifadhi mtu na athari za sumu.

•Majani ya kale(Kale leaves)
images-1.jpeg

•Brokoli
images.jpeg

Tufaha(apple)
images-3.jpeg

•Kabeji
images-2.jpeg
 
Mwili wa binadamu huzalisha sumu kulingana vyakula tunavyokula hii ni njia moja wapo kuondosha sumu kwa haraka sana.
View attachment 1498003

MAHITAJI
Majani ya Kale (kale leaves) - 3
Brokoli pamoja na miche yake - ½ msongo
Kabeji iliyokatwa pamoja na zizi lake - ½
Nyasi majani (fennel) -1
Tufaha (apples) - 2

Namna Ya Kutayarsiha
Katakata vitu vyote vipand weka katika bakuli
Tia katika mashine ya kukamua juisi, washa mashine ikamue juisi.

Mimina katika gilasi ikiwa tayari kunyiwa.

Juisi hii ni ya kuondosha athari za sumu (toxins) zinazokusanyika mwilini na kusababisha maradhi mbali mali. Kutumia kwake kila baada ya muda kunasaidia kusafisha damu na kumihifadhi mtu na athari za sumu.

•Majani ya kale(Kale leaves)
View attachment 1497994
•Brokoli
View attachment 1497997
Tufaha(apple)
View attachment 1497999
•Kabeji
View attachment 1498001

Shukrani mkuu, sasa inatumika kila baada ya muda gani??, mfano kwa kila wiki, mwezi au itumike kila siku kama juice kadiri mtu awezavyo??
 
Shukrani mkuu, sasa inatumika kila baada ya muda gani??, mfano kwa kila wiki, mwezi au itumike kila siku kama juice kadiri mtu awezavyo??
Kadri uwezavyo unaweza kuitengeza kwa wingi kama lita 2 au zaidi ukaiweka kwemye friji ukawa asubuhi ukiamka umekunywa glasi 1 mchana ukila glasi 1 jioni glasi 1 ndani ya siku 21 tu utaona utofauti hutougua ovyo.
 
Shukrani mkuu, sasa inatumika kila baada ya muda gani??, mfano kwa kila wiki, mwezi au itumike kila siku kama juice kadiri mtu awezavyo??
Kwa faida zaidi juu ya Brokoli na Kale leaves search google utajionea faida kemkem
 
Hii brokoli na mwenzie kale leaves huku Tandahimba havipatikani boss. Hakuna mbadala wake?
 
Back
Top Bottom