Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,563
- 3,704
Mwili wa binadamu huzalisha sumu kulingana vyakula tunavyokula hii ni njia moja wapo kuondosha sumu kwa haraka sana.
MAHITAJI
Majani ya Kale (kale leaves) - 3
Brokoli pamoja na miche yake - ½ msongo
Kabeji iliyokatwa pamoja na zizi lake - ½
Nyasi majani (fennel) -1
Tufaha (apples) - 2
Namna Ya Kutayarsiha
Katakata vitu vyote vipand weka katika bakuli
Tia katika mashine ya kukamua juisi, washa mashine ikamue juisi.
Mimina katika gilasi ikiwa tayari kunyiwa.
Juisi hii ni ya kuondosha athari za sumu (toxins) zinazokusanyika mwilini na kusababisha maradhi mbali mali. Kutumia kwake kila baada ya muda kunasaidia kusafisha damu na kumihifadhi mtu na athari za sumu.
•Majani ya kale(Kale leaves)
•Brokoli
Tufaha(apple)
•Kabeji