Juhudi zitumikazo Kutongoza!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Najiuliza ninani mwalimu wangu wa mapenzi jibu sina na simjui!ajabu nakutana na mwanamke najipanga kaama naenda vitani nikikutana naye kwajinsi navyo mshushia misitari hata mimi ninashanga je najiuliza maneno yote yale yanatokaga wapi??mpaka kumbadilisha uelekeo mtu mzima hata kama alikuwa amemwacha bwanayake nje anaweza kumwambia tangulia nitakukuta nimepa dharula kidogo!!
Je kwanini sisi wanaume hizo jitihada tusiziweke kwenye kitu kingine tofauti ?hata kama nikuongeza kipato inaweza kuwa ninzuri zaidi!!
 
Ni kweli , akili na muda mwingi tu, na hata ukikwama unajaribu tena, maana rasilimali iko mbele yako . Huko kwingine kwenye kipato kuna mambo mengi zaidi. Rasilimali haiko wazi kama hiyo ya kutongoza.
 
Najiuliza ninani mwalimu wangu wa mapenzi jibu sina na simjui!ajabu nakutana na mwanamke najipanga kaama naenda vitani nikikutana naye kwajinsi navyo mshushia misitari hata mimi ninashanga je najiuliza maneno yote yale yanatokaga wapi??mpaka kumbadilisha uelekeo mtu mzima hata kama alikuwa amemwacha bwanayake nje anaweza kumwambia tangulia nitakukuta nimepa dharula kidogo!!
Je kwanini sisi wanaume hizo jitihada tusiziweke kwenye kitu kingine tofauti ?hata kama nikuongeza kipato inaweza kuwa ninzuri zaidi!!

haya ni yako mimi simo.....................usinijumlishe humo labda ungeongelea nafsi yako na wapambe wako......................lol
 
Kuna CD inauzwa ina masomo na skills za "kutangaza" ntawapatieni copy moja moja wote kwa sharti la kuwapiga chini Magamba!
 
Heeheeheee mkuu, sasa na sisi ambao tulishawapiga chini siku nyingi tufanyeje?!
 
Back
Top Bottom