Juhudi za RC Makonda dhidi ya mapambano ya COVID-19 zimefifia

Kwanza niseme wazi nilipenda sana juhudi zake za kupambana na kuhamasisha watu kupambana na covid 19
Lakini naona amevunjwa moyo sasa simsikii tena ameamua kukaa kimyaa akisubiri liwalo na liwe
Usikate tamaa mheahimiwa rudi uwanjani upambane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Juhudi au kebehi na ujinga wa kufanya korona izidi kusambaa aliokuwa anaufanya? Aliyemteua amemtolea maneno makali sana baada ya kuropoka kwenye redio kuwa Dar es Salaam watu wanapukutika.
 
Mzee baba amemwambia atulie ili watu wapukutike kimyakimya apate kuwatawala vizuri minority watakaobaki.
Am not serious with this post
 
.
IMG_20200426_191745.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alifanya upuuzi, sasa hivi atakuwa anatafakari matokeo ya upuuzi wake maana inasemekana kuna uwezekano alichangia kusambaza corona kwenye mkoa wake
 
Sad kwa sababu ndio kiongozi pekee aliekuwa anajaribu japo njia zake zake za tia maji tia maji.

Makonda angepewa wizara ya afya au national leadership kwenye vita ya Corona angeokoa maisha ya wengi.
 
Juhudi au kebehi na ujinga wa kufanya korona izidi kusambaa aliokuwa anaufanya? Aliyemteua amemtolea maneno makali sana baada ya kuropoka kwenye redio kuwa Dar es Salaam watu wanapukutika.
Karopoka au kasema ukweli mpaka uumwe wew ndio ujue kamaanisha
Yupo wapi huyu aliyemkemea kwanini asikae hapohapo yupo wapi msaidizi wake unamda gani tangu umuone

Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom