emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,778
- 1,718
Mnajadili ujinga tu waache watu wafanye kazi.. Hata JPM Kuna watu aliwarudisha ambao wakati wa JK walipigwa Chini kila raisi Kuna watu anaona wanamfaa
Kiburi gani wakati mtu alikua mkali kwa fisadi na wazembe. Mtu mwenye kiburi anakua na huruma kwa watu wanyonge na maskini. Mkizoea kudhulumu wanyonge kupata utajiri ndio mnaona kiongozi anayewashikisha adabu kwa kusimamia haki eti ana kiburiSifa ya hao marais waliomteua sio ubora wao bali ni nafasi zao. Ingekuwa amechaguliwa na watu wenye ubora hapo Ingekuwa sawa. Mimi sijawahi kutaka kuwa kiongozi, na hata kama ningekuwa nisingekuwa na kiburi cha madaraka cha aina yake.
Nikikupeleka mahakamani utoe ushahidi unao?E- fm ndo sasa imechukua nafasi ya Clouds fm kuuza unga
Mwanakwenda alikuwa ni mtu wa hovyo na Tanzania haikuwahi kupata kiongozi wa hovyo kama mwanakwenda....sifa za mwanakwenda ambazo watu wengi hawapendi zisemwe japo ukweli unabaki pale pale kuwa mwanakwenda alikuwa hivyo......(1) MKABILA...kwenye utawala wake wasukuma wengi walipata ajira kwa kigezo cha ukabila mfano harmashauri ya wilaya ya same kuanzia mkurugenzi wa wilaya mpaka katibu tawala walikuwa ni wasukuma.... ..(2) CHUKI,KINYONGO,HIKDI NA WIVU hasa kwa matajiri na watu wenye neema zao mwanakwenda alitamani matajiri wote wawe chini yake kifedha na ndio maana hakuona aibu kumpora mtu pesa zake benki au kumpa kesi ya uhujumu uchumi ili mtu afirisike au apotee kabisa kwenye ramani...Rais aliyepo madarakani ana haki ya kupanga safu yake kwa kadiri anavyoona inafaa, Magufuli sio Mungu na wala sio mmiliki wa nchi hii hivyo mashabiki wa Magufuli wasimlazimishe Rais Samia afanye kama alivyofanya Magufuli.
Kiburi gani wakati mtu alikua mkali kwa fisadi na wazembe. Mtu mwenye kiburi anakua na huruma kwa watu wanyonge na maskini. Mkizoea kudhulumu wanyonge kupata utajiri ndio mnaona kiongozi anayewashikisha adabu kwa kusimamia haki eti ana kiburi
Bora mafisi yale nchi kuliko sukuma gang wala watu 😀😀😀😀😀😀Yaani nyie mnaleta masihara wakati nchi ndiyo inakwenda hivyo? Yaani mafisi yanakabidhiana bucha mchana kweupeee
Huyo mafuru ni mfano mwingine mama kuwarejesha waliyotumbuliwa na jpm. Hata kama alisusa na nadhani ni mtu anapelekeshwa na akili ya mtu au watu. Tutashuhudia regression ya mafanikio ya magufuli hasa nchi kujiamini na kufanya juhudi za kujitegemea.
Mi nadhani bora chuma kirudi au nasema uongo ndugu yangUkiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.
Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa.
Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.
Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.
Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competance yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
Tafsiri yake wamejirekebisha. Kwani si alianza Magufuli kuwasamehe!!Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.
Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa.
Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.
Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.
Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competance yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
Muongo na mjinga tu. Mwenyewe alikua anatamani wawepo matajiri. Unakumbuka yule mmasai wa tanzanite alivyotiwa moyo. Wewe bila shaka ni wale wapigaji wa hela ya umma na watumishi wazembe na wakwepa kodi. Hao ndio hakuwataka hata kidogo.Mwanakwenda alikuwa ni mtu wa hovyo na Tanzania haikuwahi kupata kiongozi wa hovyo kama mwanakwenda....sifa za mwanakwenda ambazo watu wengi hawapendi zisemwe japo ukweli unabaki pale pale kuwa mwanakwenda alikuwa hivyo......(1) MKABILA...kwenye utawala wake wasukuma wengi walipata ajira kwa kigezo cha ukabila mfano harmashauri ya wilaya ya same kuanzia mkurugenzi wa wilaya mpaka katibu tawala walikuwa ni wasukuma.... ..(2) CHUKI,KINYONGO,HIKDI NA WIVU hasa kwa matajiri na watu wenye neema zao mwanakwenda alitamani matajiri wote wawe chini yake kifedha na ndio maana hakuona aibu kumpora mtu pesa zake benki au kumpa kesi ya uhujumu uchumi ili mtu afirisike au apotee kabisa kwenye ramani...
Tengua hoja zangu hapo juu kwa mifano hai...Muongo na mjinga tu. Mwenyewe alikua anatamani wawepo matajiri. Unakumbuka yule mmasai wa tanzanite alivyotiwa moyo. Wewe bila shaka ni wale wapigaji wa hela ya umma na watumishi wazembe na wakwepa kodi. Hao ndio hakuwataka hata kidogo.
Wote hao walionewa na mwanakwenda...mwanakwenda alikuwa mdhurumati na muonevu kwa hiyo mama anatibu vidonda vya wale wote walioonewa na mwanakwenda.....
Umandika uharoMagufuli sio kipimo cha utawala bora hapa nchini, na ni kiongozi mjinga tu anaweza kufanya maamuzi yake ya kufuata alichokuwa anaamini Magufuli. Magufuli sifa yake kubwa alikuwa ni mchapakazi kazi asiyetumia akili, na aliendeshwa na roho la uharibifu, chuki na visasi. Bora waingie hawa wezi wanaoiba wakitabasamu, kuliko wezi wa enzi ya Magufuli waliokuwa wamejazwa viburi vya madaraka na uuaji. Kwetu ni bora hili zimwi la Msoga line, kuliko hao sukuma gang chini ya yule muovu aliye motoni.