Juhudi za Marekani za kuwa na ushawishi katika idara za usalama za Iraq | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Juhudi za Marekani za kuwa na ushawishi katika idara za usalama za Iraq

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Oct 25, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD][​IMG]Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iraq amesema kuwa Marekani inafanya kila iwezalo ili kuhodhi idara ya usalama ya nchi hiyo. Hassan as Sari Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iraq amesema kuwa hatua ya Marekani ya kuongeza wafanyakazi wa ubalozi wake huko Baghdad ni hatari kubwa na kwamba viongozi wa White House mara hii wanajaribu kuhodhi idara ya usalama ya Iraq huku wakitaka kuongeza maelfu ya majasusi wake huko Iraq. Hassan as Sari ameongeza kuwa baada ya kuvunjwa moyo kufuatia kunyimwa kinga ya kutoshtakiwa askari wake huko Iraq na kuendelea kuikalia kijeshi nchi hiyo, mara hii Marekani imezusha senario mpya ikitaka kutuma maajenti maalumu wa shirika la ujasusi la nchi hiyo CIA huko Iraq, ili kuhodhi idara za usalama za nchi hiyo. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iraq ameliomba bunge la nchi hiyo kupasisha mpango utakopinga kisheria hatua hiyo ya ubalozi wa Marekani.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Chanzo:Juhudi za Marekani za kuwa na ushawishi katika idara za usalama za Iraq
   
Loading...