J33
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 1,552
- 1,505
Natamani sana kumiliki BMW, Vipi upatikanaji Wa vipuri vyake kwa hapa Tanzania hasa Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubadili oil sio ishu Mkuu maana sio jambo LA kila siku , jambo muhimu ni kuwa tofauti kidogo. Nataka SedanMkuu, nunua tu usiwe na wasiwasi kuhusu vipuri na service. Kwa sasa kuna dealers kadhaa waliospecialize kwenye magari ya Mjerumani, Muingereza hadi Muitaliano hapa Tanzania. Usiwe na wasiwasi kabisa.
Kwa BMW mfano hawa Noble Motors Limited waliopo Julius K. Nyerere Rd, DSM, wanafanya kila kitu hadi diagnosis, service na watakusaidia kupata spare parts...
Spares zipo nyingi tu. Ukinunua nitafute. Hata ukitaka ushauri ununue ipi niulize. Kwa kifupiNatamani sana kumiliki BMW , VIP upatikanaji Wa vipuri vyake kwa hapa Tanzania has a Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sedan chukua 3Series E90 N46 Engine 320i from 2006 au 5Series E60 N52 Engine 323i from 2006....Kubadili oil sio ishu Mkuu maana sio jambo LA kila siku , jambo muhimu ni kuwa tofauti kidogo. Nataka Sedan
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi za Japan zinazalishwa Japan au WAP? Nataka kuagiza huko??Spares zipo nyingi tu. Ukinunua nitafute. Hata ukitaka ushauri ununue ipi niulize. Kwa kifupi
1.Ukitaka X5 nunua E70 3.0Si hizi ni kuanzia 2007-
2.Ukitaka 3 Series nunua E90 320i hizi zilianzia 2006-
3.Ukitaka 5Series nunue E60 523i kuanzia 2005- ingawa zilianzia 2003
4.Ukitaka X3 nunua kuanzia 2007 2.5Si
Hizo zote ni Petrol engine ni cheaper to maintain than Diesel engine.
Sedan chukua 3Series E90 N46 Engine 320i from 2006 au 5Series E60 N52 Engine 323i from 2006....
Kama ni first car, yaani hujawahi miliki before, me nashauri ungeanza na Toyo tu.Kubadili oil sio ishu Mkuu maana sio jambo LA kila siku , jambo muhimu ni kuwa tofauti kidogo. Nataka Sedan
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubadili oil sio ishu Mkuu maana sio jambo LA kila siku , jambo muhimu ni kuwa tofauti kidogo. Nataka Sedan
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinatengenezwa Japan. Za UK/German bei kubwa ila ni kitu kile kile. Japan bei ndogo kwasababu demand yake ni ndogo(yaani wanunuzi wengi wa used wananunua japanese hata ukiangalia Tz hio ndio trend)
Ninamiliki gari tangu 2011Kama ni first car, yaani hujawahi miliki before, me nashauri ungeanza na Toyo tu.
Pia, kama pesa kwaajili ya Service and Maintanance na Running ni ya kuunga pia ungeanza na Toyo kwanza.
Ila kama Pesa sio shida Bimmer chukua.
Kama unaagiza itakua poa sana.
Sedan chukua BMW 3 series 318i (3 series E46 za mwaka 2005 kurudi nyuma) utapata kwa Mil 14 hadi 17 kutokana na conditions options etc.
Kama upo vizuri zaidi, chukua BMW E90 3 series 320i nayo more advanced kuliko 318i. Ni za mwaka 2005 hadi 2012. Hizi ukiagiza andaa kama Mil 24 Minimum hadi inakua barabarani.
Kuna newest model F30 za kuanzia mwaka 2011 hadi leo hizi bei yake mkasi sana sina ujuzi nazo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi chukua BMW E46 318i N46 Engine. Ni Petrol ni i4 Engine capacity yake 2.0L producing 148hp. Hutojuta.
Too old..Basi chukua BMW E46 318i N46 Engine. Ni Petrol ni i4 Engine capacity yake 2.0L producing 148hp. Hutojuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Ila unategemea E90 kwa Mil 17 atapata? Kasema Budget yake Mil 17 ndio maana nikasema aende 318i.Too old..
Kwa bajeti hio hawezi kupata E90?Basi chukua BMW E46 318i N46 Engine. Ni Petrol ni i4 Engine capacity yake 2.0L producing 148hp. Hutojuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza kupata.