Ambiance ni pub ndani ya corner bar,tukae nje tu,si unajua simba anawinda karibu na mto?
Aisee namwona cacico anaingia yuko na BADILI TABIA wamepiga vimini ni hatari mwanawane.
Kajizeekea huyo achana naye,mpaka aimbiwe 'simama dede'.
Wewe nawe kweli ushazeeka! mzee mwenzako anakutoa outing!
tunamsubiri Asprin twende twanga pepeta
Out ya kivipi ?
Wakati mie nna siku ya 3 mfululizo sijarudi kambini niko out !
Nani wa kumtoa mwenzake ?
Ati midabwada. Heri mie niko faceless, avatar yako inajieleza bepari!
Kajizeekea huyo achana naye,mpaka aimbiwe 'simama dede'.
Kusoma hujui hata picha huwezi kuangalia???
..Nipitieni hapa Bonga Bar kinoTwenzetu corner bar sinza tukavute mizigo,achana na hii midabwada ya chitchat.