Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,560
A man will be as honest as he is required to be. Hata mtu muadilifu mwenye nyumba Dar, ukimwambia kuna malipo mazuri ya kisheria kupanga nyumba Dar bila hata kumuuliza kama anahitaji nyumba Dar, unamkwaza.Nazungumzia upande wa Uadilifu wa Mlipwaji sio uadilifu wa Mlipaji!
Wewe unayempa hiyo offer unamuweka katika mtihani unaomtaka awe kama malaika wakati yeye ni mtu tu.
Tunapopiga vita rushwa, tuweke mifumo inayolazimisha watu kutochukua rushwa. Si mifumo inayolazimisha watu wachukue rushwa, halafu tutegemee watu wakatae rushwa.