Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,300
- 2,714
Nadhani tatizo letu ni sera ya ubinafsishaji ilivyoletwa hatukuwa tumejipanga ililetwa kwa ubabe na uharaka.
Kuwa Bodi member sio lazima uwe na hisa bali elimu na vigezo huzingatiwa.
Kuwa Bodi member sio lazima uwe na hisa bali elimu na vigezo huzingatiwa.