Jua tofauti iliyopo kati ya MB na Mb

VP vile vifurushi tunavyouziwa vya kwaajili ya kuperuz internet vinaweza kupakua file sawa na ukubwa wa data ulizonazo kwenye sim card....(namaanisha MB 300 za tigo naweza kupakua file lenye ukubwa wa MB300 likaisha nazo MB za data zikaisha?)
 
Hilo Iitawezekana tu kama kifaa unachotumia simu/tablet au pc hakuna application yoyote inazofanyakazi background
 
Back
Top Bottom