Jua programu zenye nguvu kwajili ya Ethical Hacking

rootadmin

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
349
242
Moja kwa moja ningependa nianze na programu hzo.

1)METASPLOIT FRAMEWORK
Metasploit ni software ambayo inatumia kanuni ya "exploit" ambayo ni code yenye uwezo wa kupenyeza katika system security (firewall). ikisha penyeza inaenda kuweka "payload" Payload ni kama virus ambayo inamuwezesha mdukuzi kupata kuwa na uwezo wa kutawala computer au simu yako na kufanya kitu chochote kile anacho hitaji.

metasploit.png

2) WIRESHACK
Hii ni program inayofanya kazi kwenye local system yani inside LAN or WAN inauwezo wa kuona packets ambazo kila computer kwenye hiyo LAN or WAN zinacho fanya kwa mtindo wa log. inauwezo wa ku capture kitu unacho andika kutegemeana na ports sana sana TCP na UDP ports.

image001.png

3)W3AF
W3af kwa kirefu ni Web Application Attack and Audit Framework.
kazi ya hii programu ni kutafuta vulnerability kwenye websites. inauwezo wa kuscan website bila hata ya web application firewall kujua. Weaf inatumia command line na GUI pia. ipo pre installed kwenye Operating za kali,backbox,parrot.

plugin-config.png

ITAENDELEA..........
 
hatariiiiiiii
 
Hizi ni program za kulipia au ni free?
Shukurani kwa elimu.
Nahitaji program itakayoniwezesha kuingia kwenye pc yyte hata km aliweka password.
hizo zipo katika sehemu mbili kuna za free na zinazo uzwa.. za free zinakuwa limited but zinazo uzwa zipo full
 
Shukurani. Ila bado haujanijibu. Nahitaji program ya kuniwezesha kuingia kweny pc yyte ile ninayoitaka yenye password.
 
Back
Top Bottom