Jua Majina na Maana zake, Unyerere Ujamaaa, Umwinyi (hehheheh ruksa) Umkapa (ukapa)..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jua Majina na Maana zake, Unyerere Ujamaaa, Umwinyi (hehheheh ruksa) Umkapa (ukapa).....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mchaga 25, Feb 15, 2012.

 1. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haya baada yakutafakari muelekeo wa siasa za nchi yetu ninahisi kuwa kuna uwezekano wa uhusiano wa Jina la kiongozi na hali ya nchi, kwa mfano Nyerere na swala zima la ujamaa jina likiwa na asili ya nyenyere wale wadudu wadogo. Vile vile Mwinyi alivyokuwa kuwa mzee wa ruksa kama umwinyi unavyo fahamika, Mkapa yeye alipo kuja na falisafa ya ukapa au kukosa....toka kapa...sasa huyu ndugu yangu Kikwete nadhani anaweza akaja na jina ambalo nashindwa kulitaja hi hi hi hi hi
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  ulaya ulaya
   
 3. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135


  si useme ufisadiiiiiiiiii.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Jk kaja na ufisadi
   
 5. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  umayuwayu unatosha manake mzee wa kuruka angani
   
Loading...