msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,730
Mhhh Kenya jua hata Uganda sasa jua linawaka hasa maziwa yaliyokuwa yanauzwa sh. 800UGX sasa 1200/lt . Sokoni bidhaa za chakula zimepungua, ukiuuliza unaambia JUA kali, kwa kawaida huu huwa ni msimu wa senene na hizi husaidia sana watu kwa mboga na pato hasa akinamama.
Ni hayo tu toka UG
Ni hayo tu toka UG