Jua linaomba uthibitisho wa uwepo wa usiku

mjarrab

Senior Member
Nov 13, 2015
108
55
Wakuu Mimi ni Jua.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikiambiwa kuwa kuna usiku. Nimeomba kuthibitishiwa kuwa usiku unaexist.

Ninapokuwa upande huu wa dunia naambiwa usiku upo upande wa pili, nikienda huko wananiambia kuwa usiku upo upande niliotoka.

Sasa nimechoka na hizi hadithi za uwepo wa Usiku. Imefikia mahali nasema kuwa usiku hakuna hizo ni hadithi za watu tu hazina ukweli wowote!

Kama kuna Mtu yoyote anayedai kuwa usiku upo basi anipeleke na Mimi niuone ili niamini uwepo wake!

Kwa yeyote anayeweza kunithibitishia anakaribishwa.

Naomba Kuwasilisha.
 
Umeandika utumbo kuwahi kutokea karne hii,tafuta kitabu cha geography form one swali lako limejibiwa mule
 
You have to get out of your JUA reality and go beyond that JUA limitation to find what exist beyound JUA... and you will be interested to what you will find there
 
Kiranga
 
Wewe unaweza kukitazama kisogo chako pasipo kutumia kioo?
Inamaana unani shauri kutumia kioo?
Mbona nimetumia na bado naona hali ya upande huo wa dunia nao ni sawa na upande huu ninao uona uona kwa Sasa?
Labda huja nielewa!
Nachota kuona si kuona upande mwingine wakati ninapo tazama upande huu,
Nataka unionyeshe usiku niuone. Nami nithibitishe kuwa kweli usiku upo.
 
You have to get out of your JUA reality and go beyond that JUA limitation to find what exist beyound JUA... and you will be interested to what you will find there
Tatoka vipi kwenye umbile langu?
Wewe upo tayari kutolewa katika mwili wako ukathibitishiwe kuona kisicho onekana?
 
Subiri hayo ma hydrogen yaishe supernova itakuonyesha Giza ni nini..
 
Acheni ungese swali ni swali tu na nani kawaambia swali la kipuuzi ndo halijibiwi ?
Ndo elimu yenu ilipofikia ? Jibuni mlichoulizwa acheni kumponda mtoa mada
 
Una mentality ya kisenge sana utumbo ndo haujibiwi kama unajibu muelekeze kuuliza si ujinga anaeuliza anataka ajue

Yaani umejibu utumbo
Umeandika utumbo kuwahi kutokea karne hii,tafuta kitabu cha geography form one swali lako limejibiwa mule
 
***** mi living organisms ya hili jukwaa iyanijikuta mierevu sana kumbe fakeni twat. Hairless ape
 
Back
Top Bottom