Jua likiwaka tumbo linachemka. Hili ni tatizo gani?

GIRITA

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
4,128
5,237
Habari wakuu,

Kuna tatizo linamsumbua jamaa hapa yaani akikaa ametulia mida ya mchana jua linapowaka anasikia tumbo kama linachemka,ila inapofika jioni hali hii inapotea kabisa....anasikia joto tumboni nje kwa juu,sasa sijui ni ugonjwa gani huu.

Wataalamu karibuni.
 
Back
Top Bottom