Jua la Sahara Kutoa Umeme Ulaya - Miafrika Kuendelea Kuchomwa na Jua la Mgawo Bongo!

Zakumi,

This is so mean my brother. Sidhani kama umeandika wewe. This is what you have to say for this tremendous achievement ya huyu bwana mdogo ambaye, bila juhudi zake angekuwa another addition kwenye statistics za umasikini katika jamii yetu? Please....give credibility where it is due.

Kijana hata shule hakwenda kwa kukosa dola 80! Against all odds, kasimama bila kutumia elimu ya mkoloni ambayo wewe na mimi tumeihangaikia maisha yetu yote, na kujiweka katika ramani ya ulimwengu.

As always, nitarudia..Africa inarudishwa nyuma na wasomi kama mimi na wewe..ambao kwa kutumia elimu zetu za kukariri..we tend to think kwamba we know everything and we are civilized! Kumbe hatuwezi fanya lolote.

Dogo ambaye hata shule hakwenda...leo kafanya hili jambo....jiulize wewe zaidi ya kurudia mawazo ya wasomi na wanafilosophia wa enzi hizo....what else have you done? same can be asked of myself.

Tuache hizo wakuu. Tujifunze kuthamini kilicho chetu. Tusione aibu. Kwa mara nyingine nampongeza sana huyu bwana mdogo. A true African story. Against all adversity, he is soldiering on.

Zakumi utakuwa ni utata kuniambia kwamba..Masanja, kusoma degree ya medicine Harvard au Oxford (mfano) katika kijiji/Tarafa/wilaya Nzima ni luck. Common broda! You can do better that that.

Wahenga walisema: Luck favours the prepared minds!

Just remember: A journey of thousand miles..begins with a single step. So we might be late and not appreciated in our own backyard..but we are heading there. And those leading as, are not the Zakumi`s, Masanja`s or Companero`s of this world..who can best recite the writings of great scholars. Rather it is the ingenuity of the downtroden in our society..like this boy, who feel despised and excluded.

Unajua tena wengine hatupo sahihi kisiasa. Ninazungumza yaliyo akilini mwangu.
 
Jasusi:

Azimio la Arusha ni kuzuizi cha innovation tu kwa sababu linafanya sekta zote kuwa mikokoni mwa umma. Na sekta za umma sio mahali pa kukuza innovation yoyote hile.

....nakubaliana na wewe Azimio la Arusha lilikuwa ni ufashisti wa hali ya juu uliowahi kutokea Tanzania na umaskini mwingi wa TZ umetokana na sera za Azimio la Arusha,nina uhakika bila azimio la Arusha tungeweza kuwa maskini bado lakini sio kama kiwango cha ufukara wa sasa na limeharibu akili za wengi maana watu hawana akili tena ya kufikiria wenyewe na kila kitu ni kusubiri serikali!
 
Vipi pale maeneo ya Dodoma na Singida kuna jua mwaka mzima linachoma mpaka utosini daily,hawa wangeangalia namna ya kujisaidia pale na lile jua kuondoa umaskini!
 
Jamani wakuu zangu, nakumbuka zamani sana huko kwetu Ukerewe jamaa walikuwa wakitumia choo cha kiasili ku charge betri la gari na kupata umeme wa nyumba!
Hii habari imeishia wapi?..
 
Vipi pale maeneo ya Dodoma na Singida kuna jua mwaka mzima linachoma mpaka utosini daily,hawa wangeangalia namna ya kujisaidia pale na lile jua kuondoa umaskini!

solution: peleka proposal wizara ya miundo mbinu! Au andika proposal yako mwenyewe, chukua mkopo benki, uanze biashara.
 
Shukran. Naona kama una contacts anzia TBC1 upate contact za huyo jamaa na umpe interview 1 to 1. Hapo utapata mengi I am sure.

Thanks

naona mtandao wao uko chini kwanzia jana!! Do u have any more info on him? name, au hata jina la kipindi? I dont live in tz but wld be very interested kumsikia nikija. maybe all he need is cash or someone to write a loan proposal him.
 
Jamani wakuu zangu, nakumbuka zamani sana huko kwetu Ukerewe jamaa walikuwa wakitumia choo cha kiasili ku charge betri la gari na kupata umeme wa nyumba!
Hii habari imeishia wapi?..

kwani sasa huna contact na nyumbani?
 
Without defined strategies, we cannot propel any future development agenda. We have to sort out political hindering issues so that we can address development issues. I agree, we need actions and basically quick actions to move fast from where we are now to a different place.
Positive political direction could make all other development issues achiavable> Vinginevyo ni rushwa ndo itakayotufanya tuwe kubaya zaidi ya hapa tulipo. Naamini Azimio la arusha linajadiliwa kwasababu Azimio la Zanzibar ambalo halijawahi kuandikwa kwenye makaratasi limeonyesha failures kubwa kwenye kuisogeza nchi mbele maana rushwa imeongezeka, huduma za jamii zimedumaa na maendeleo yamekuwa kwa watu wachache tu. Je hao wengi kama wataendelea kuwa masikini hatuoni kama itakuwa hatari kiusalama kwa nchi yetu?
 
unataka usalama waache kufikiri sisiem watapata wapi hela ya uchaguzi? hilo ndo jukumu lao la msingi.
Wenzao wanaangalia business opportunities, economic threats, and the like....hawa jamaa wa miti mingi wao wamelala.
 
Back
Top Bottom