Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,149
- 2,784
kwa hili jua la Dar, unaweza kutembea ukasikia harufu ya MISHIKAKI kumbe Mapumbu yanaungua
Mapumbu ndio nini??
Njoo inboxMapumbu ndio nini??
Ndio maana ya mapumbu?Njoo inbox
Kende za mbuzi,Mapumbu ndio nini??
kwa hili jua la Dar, unaweza kutembea ukasikia harufu ya MISHIKAKI kumbe Mapumbu yanaungua
Hata sijaelewa hayo mapumbu ndo kitu gani labda ungeweka picha ingependeza..kwa hili jua la Dar, unaweza kutembea ukasikia harufu ya MISHIKAKI kumbe Mapumbu yanaungua
Nenda inbox ukaonyeshweNdio maana ya mapumbu?
Wanadai vyuma vimekaza, pesa ya kula ni shida seuse ya maji ya kuogaHuwezi amini pamoja na hali hiyo bado kuna ' Njemba ' zinatega Kuoga siku moja mpaka tatu.