Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

Aya vijana wa Mipango , mjiandae kupanga. Bei ni poa tu na Nyumba ipo karibu na Chuo .
 
Naomba kuuliza hii irdp haina group llte la whatsapp kwa ajil ya kupata apdate kwa wale 1st yr km ambavyo wanafanya vyuo vyengne?
 
habarin wakuu, Hii n special kwa wale wote waliochaguliwa kujiunga na chuo cha mipango dodoma kwa mwaka wa masomo 2018/2019, Kama una shida na ufahamu juu ya chuo na courses zitolewazo feel free kuuliza niotakujibu
Poa.... naomba unijuze vipi kuhusu kozi ya Urban planning and environment management imekaaje hapo chuoni na wakufunzi wanabana au? nina mpango wa kubadilisha unanishaurije?
Pia naomba kujua kuhusu upatikanaji wa Hostel,,, zinapatikana au ndio yale ya kupanga kitaa,,je hakuna wizi ( vibaka wakabaji nk)?
kama hostel zipo naomba kujua bei zake kwa semister. Ni hayo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom