Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

habarin wakuu, Hii n special kwa wale wote waliochaguliwa kujiunga na chuo cha mipango dodoma kwa mwaka wa masomo 2018/2019, Kama una shida na ufahamu juu ya chuo na courses zitolewazo feel free kuuliza niotakujibu
Nasikia kuna watoto wazuri sana hapo. Hebu tupe dondoo in brief
 
Kimeshapanda hadhi na kurekebisha viwango vya utoaji elimu? Maana graduates wake ndio wanaongoza kwa kujambia benchi huku mtaani.
 
habarin wakuu, Hii n special kwa wale wote waliochaguliwa kujiunga na chuo cha mipango dodoma kwa mwaka wa masomo 2018/2019, Kama una shida na ufahamu juu ya chuo na courses zitolewazo feel free kuuliza niotakujibu
.vip hii koz development finance imekaaj au ndo nikifika nibadili
 
Kimeshapanda hadhi na kurekebisha viwango vya utoaji elimu? Maana graduates wake ndio wanaongoza kwa kujambia benchi huku mtaani.
Kusoma na mafanikio n vtu viwil tofaut kabisa, ajira nowdays n tatzo la kila mahali tz, u av to apply your knowledge in real life , maisha yaendelee ukingoja kuajiriwa kwa ulichokisomea utazeeka na vyeti vyako
 
Huyu mleta mada sio njuka... Ana nyuzi za mipango tangu mwaka juzi na zaidi... Na kutafuttia wadada na wakaka hostel... Hongera kwake kwa kuwa saidia njuka mageto
Utakua umenifananish mkuu mipango nimeingia mwak jan me npo kW ajil ya kusaidia ndug zetu waliochaguliw kufaham mzngira yakoje hap mipango
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom