Jua kinachoendelea TRA post ya Assistance Accountant Hapa

Usiwe na shida ndani ya wiki hii ama wiki ijayo lazima mbivu na mbichi zijulikanae maana leo ndiyo CV zote zimepelekwa kwa consultant kwa ajili ya kuchambuliwa,nimeambiwa CV zilikuwa kama fuso moja.Na huyo consultant ndiye atakaetoa amplitude test.Usiniulize nimeyapata wapi wewe kaa tu mkao wa kuitwa interview ya kuandika
 
Sasa kaka hizo cv zinatoka wapi au tulivyokuwa tunajaza zile form online wakaziprint kwanza,maaana kwa upeo wangu nilikuwa najua kuna system inatumika na ndo itatoa list ya watu kuitwa kwa interview.fafanua kidogo hilo fuso la cv
 
Online ya wapi,zimeprintiwa kwa taarifa yako na zimepelekwa sehemu husika kwa ajili ya kushortlist watu wa kwenda kwenye interview ya kuandika,ndani ya wiki hii ama wiki ijayo lazima watu wapigiwe simu wewe weka simu yako on na sehemu yenye network,ingawa kwa serikali vimemo vilishatangulia muda mrefu tena TRA weeeeeeeeeeee
 
kaka bado na doubt kidogo na usemi wako katka kusema swala hard copy kuprintiwa kuhusika unakumbuka maelekezo nimejaribu kukoti kwa ajiri yako na wana JF kwa ujuml a :ila nakubaliana na wewe asante kwa information na jengine nijuze post za weza kuwa kama ngapi.
COMPLETING THE APPLICATION FORMAll applicants are required to properly fill in the application form provided in the system. Please be informed that shortlisting is a machinery process done through the Human resources Information System. Failure to fill in all the fields properly may lead to disqualification
 
Acha ubishi,ukweli ni kwamba wamepeleka UD kwa ajili ya kufanya shortlist kama unakataa kataaa.Hiyo ni from inside
 
Assistance accountancy ndio nini?

Hata post unayoomba hujui inaitwaje halafu unategemea utaitwa kwenye interview.

Mtalalamika sana ooh vimemo kumbe wachawi wa maendeleo yenu ni nyie wenyewe.

Wakikuita pale umekaa wanakuuliza wewe upo hapa kwa ajili ya position gani unafungua mdomo kwa mbwembwe "Assistance accountant" wanakwambia mlango uliojia nao ulee
 
hizo ni erros za kawaida kaka angalia wewe ulivyo nukuu mwanzo sawa na kilichoandikwa "Assistance accountancy" nani kaandika hivi,kweli nyani haoni kundulee.
 
Wewe kichwa mbovu unarekebishwa alafu bado unaleta jeuri! ndio maana mnakosa kazi hivihivi kizembe!
 
Bwana Mdogo zanishaha nilidhani utakuwa umenielewa.Ni hivi kazi za TRA zinahitaji kwa uwe na kigogo wa kukushika mkono pamoja na vyeti vyako.Umewahi kujiuliza maswali yafuatayo.

[1] Tanzania ina mawaziri wangapi,wakuu wa mikoa wangapi,wakuu wa wilaya wangapi,wakuu wa polisi,magereza,uhamiaji,jwtz,mabalozi...... ?.Ukipata idadi yao fikiria vimemo vingapi vitakuwa mezani kwa Kitilya

[2] Zanzibar wanataka mgao wao wa ajira katika vyombo vyote vya muungano

[3] Makamishna wa TRA nao wana ndugu jamaa na marafiki.

Sikukatishi tamaa bwana mdogo lakini napenda kama utapanua mawazo yako vizuri zaidi kwa kuangalia ajira sehemu nyingine usijepata presh katika umri mdogo.

Hili ni jiwe la uhakika kati ya yale niliotupa........bwana mkubwaa.lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom