Jua jinsi ya ku unlock modem za tigo,voda ,airtel na huawei zozote apa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jua jinsi ya ku unlock modem za tigo,voda ,airtel na huawei zozote apa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by e2themiza, Mar 30, 2011.

 1. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Pata kujua jinsi watu wanavyo chakachua vituu na sio modem 2 bali vitu vinginevyo vinavyohusiana na computer na vitu vingine vya electronics unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa!!!
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  sasa wewe unataka watu waulize Maswali? Si ungeweka maelezo yako naman ya Kuchakuwa hizo Modem? unakaribisha Maswali utafikiri upo bungeni kwa Anne Makinda?
   
 3. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kuchakachua kivipi kama mordem ya airtel tupe maelezo
   
 4. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  nataka kuchakachua mordem za Airtel nifanyeje? naomba jibu
   
 5. Jenerali QoyoJB

  Jenerali QoyoJB JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mshikaji vipi unataka tuulize nini wakati maarifa yenyewe hujatupa, toa maelekezo then tusipoelewa tutauliza maswali. We ungekuwa mwalimu watoto wote div ziro.
   
 6. Jenerali QoyoJB

  Jenerali QoyoJB JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hapa nilipo natumia mordem ya tygo bado wiki moja, unataka kusema naweza endelea bila kutumia? haya nipe hatua za kufuata.
   
 7. EMM_411

  EMM_411 Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  naona mkaka hapo kashindwa kutoa majibu ya kuaminika sasa embu nitumie imei ya modem yako hiyo ya tigo nikupatie unlock code ukaichakachue mwenyeweeeee. Imei ina namba yaani tarakimu 15,zimeandikwa kwenye kiboksi chako cha hiyo modem ya tigo,nitumie hizo namba nikupatie unlock code yake!!
   
 8. F

  Fundifundisho Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wizi mtupu!
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,700
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  sawa mkubwa nac 2jifunze kuiba kwa njia hii
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mkuu mimi naomba tu unifundishe jinsi ya kufungua simu iliyofungwa kwa ajili ya mtandao mmoja tu,kama vile tigo ili iweze kutumika kwa mitandao mingine pia
   
 11. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Duh!:lol:
   
 12. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  sasa mbona umesema uulizwe maswali halafu umekimbia???:car:
   
 13. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  tulizaneni bana mbona mna haraka sana mambo haya yanatakiwa yaende taratibu nili post hii jana leyoo ndio nilikuwa niziweka hzo prog sawa na maelezo ya ku unlock hzo modem nta attach kila ktu msiwe na papara nyote mtasidiwa sema wakuu sasa hv umeme umekatika ukirudi ntaziweka hzo prog na maelezo naomba uvumilivu wenu...
   
 14. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Hivyo vyote vishajadiliwa hapa, sana sana ulete nyongeza tu.
  Click kwenye search hapo juu, utapata topic mbalimbali za sayansi na teknolojia pamoja na uchakachuaji.
   
 15. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  sorry Fatma huyu jamaa alieanzisha hii thread hana uhakika, au hajui kama hii field ni kubwa sana kiasi kwamba kuna thread nyingi ambazo zinaelezea yote ambayo yeye anaanzisha thread nyingine.
  kama vile haitoshi pengine hajui kama modems za airtel zipo counter blocked hivyo hazifunguki kwa sasa. sasa sijajua ni kwanini amefungua thread mpya na ku-zi name aina za modems ambazo hataweza kuzichakachua achilia mbali kutufundisha.
   
 16. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Tumsamehe bure, naona alikuwa anaweka mguu mtoni kujaribu maji marefu ya JF.
   
 17. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  sasa mtu wangu mbona unakuwa unanijugde kabla ata sijaweka hzo info apa mbona ivyo hakuna lisilowezekana ndo maana pia nikakaribisha maswali coz nilijua kuwa kuna thread nyinigi zingine zinaeleza jinsi ya ku unlock hz modem na nikasema useme wapi ulipokwama usaidiwe... na nilikuwa kimya na sija post maelezo coz uku umeme ulikuwa umekatika na umerudi sasa... DONT JUDGE A BOOK BY ITS COVER...
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mi nilijua utaweka hzo mambo kenye hi thread kumbe ngenga 2 da we noma
   
 19. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  sija judge a book by its cover mkuu bali so far airtel ambazo zipo counter blocked hazifunguki. sio airtel tu yaani modem mpya zenye customised firmware:

  Found modem : E153
  Model : Huawei E153 (AirTel)
  IMEI : 352375041******
  Serial NR. : KMA5TA10A2309937
  Firmware : 11.609.16.00.272
  Compile date / time : Aug 17 2010 17:32:08
  Dashboard version : UTPS11.302.09.21.272_MAC11.301.06.15.272
  Chipset : Qualcomm MSM6246
  NAND Flash : hynix_128M_32M
  Voice feature : enabled
  SIM Lock status : Locked (customized firmware)
  Wrong codes entered : 10 (unlock attempts left : 0)

  anyway tusubiri tuone.
   
 20. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  NA SASA nitaanza kukuelezea jinsi ya ku unlock modem zilizokuwa counter locked kama alivyosema CALVIN POWER apo juu kwanza nitaeleza process nzima tena ya kuunlock modem za huawei ambazo HAZIKO COUNTER locked na mwishowe ZILIZO COUNTER locked ata hvyo NJIA ya ku unlock tyari watu kibao washaeleza katika topic nyingi za nyuma lakini nitafanya kama kurudia hvyo.

  1.MODEm zinakuwa locked na compuny ya simu ulioinunua na inakuwa locked na iyo compuny ya cmu na huwezi kutumia mtandao wowote mwingine sasa ili iweze kutumika una takiwa ku unlock kutumia program kadhaa ili iweze ikatumiaka; prog zake ni kwanza unatakiwa uwe na

  huawei code writer- hii ni program ambayo ina send unlocking code kwenda kwny modem yako ili iweze ikafunguka

  universal master code - hii ni program ambayo ina calculate unlocking code ya modem yako kwa kutumia (imei) ya modem hyo ambayo utaiona imeandikwa nyuma ya modem yako ambazo zinakuwa digit 15. link ya kudownload pack nzima ni hii apa- Hotfile.com: One click file hosting: Unlock Huawei Modem Tools.rar apo katika iyo web utaclik REGULAR DOWNLOAD na itattokea msg apo jua ya iyo button kwamba wait for 12 seconds au seconde kadha watakoa kupa ww subiri tu lakni usiclick click here mbele ya ujumbe ... baada itajiload tena na italeta CAPTCHA box ili uigize maneno yaliyo display apo ingiza na click DOWNLOAD FILE itajiload tena na utaclick click here to download na itaanza kudownloa SASA ilo file ni la RAR COMPRESSED file kama hauna WINRAR utabidi uidownload pia ili uweze extraxt ilo file zima... ili kuipata winrara itabidi uisearch kwenye google na uidownload ni kama mb 1 hv........ sasa ukishaiodownload utaiextract na utazikuta hzo prog na maelezo namna ya kuzitumia... lakini subiri nielezee briefly

  1.kwanza iandike mahali imei ya modem yako ambayo iko nyuma ya modem (15 digits)

  2.na fungua universal master code na uiandike pale kwny box la imei na utaclick calcualte..... itafanya ivyo na itakupa flash code na unlock code, icopy unlock code ambazo itakuwa ni namba 8

  3.na ufungue HUAWEI code write na click pleae select com port na uta click detect na ita detect utaiselet modem yako na utaclick accpet sasa maelezo ya modem yako yataonekana apo sasa click unlock modem na itatokea box lingine lenye 8 blank digits yani ("00000000") sasa i paste unlockind code yako ulioi calculate kwny universal master code na uta click unlock modem utaona SEND OK!!! apo itakuwa imefunguka asilimia 100 sasa iyo ni kwa zile modem ambazo haziyawa counter locked TIGO NA VODA na HUAWEI ZINGINE....

  SASA NITAELEZE NJIA YA KU UNLOCK MODEM AMBAZO ZKO COUNTER LOCKED KAMA YA AIRTEL NA ZINGENE
  hz sasa ukitumia njia za juu coz ni jia zile zile kwenye kuuunlock kwny code writer inaonesha SEND "ERROR" badalaa SEND OK sasa kwann na utaiunlock vp nijia hz apa;-
  1.kwanza kuwa counter locked maana yake nn kila modem ina limit ya kuunlock kama ukiwa ukekosea kuingiza code sasa kwa hz modem limit yake ni mara 10 ni ikiwa hvyo hautaweza kuunlock itumie mtamdao mwingine tofauti na uliokuwa locked nayo.... sasa kuna program ya kuiunlock ikiwa counter locked yani kureset tena ili uweze kuunlock na inaitwa HUAWEI DATACARD UNLOCKER na download link yake hii apa
  -"( hwe_datacard_unlocker.exe - 4shared.com - online file sharing and storage - download) utaidownload apo utaclick button ya blue iliyosema download now watakupa muda wa kusubiri hv sekunde kadha na itafika sifuri na itotokea button download na utaidownload apo
  3.UKISHAI download iyo prog ni kadogo tu kama kb kadhaa tu PIA NAWAHAKIKIHIA SIO KIRUS COZ ANTIVIRUS ZINGINE ITAIONA KAMA KIRUS LAKINI SIO KIRUS MM NATUMIA KASPERSKY INTERNET SECURITY 2011 NAJUA NINACHOKIONGELEA so kama UKIDOWNLOAD NA ANTIVIRUS IKAIDETECT KAMA KIRUS NA IKAIDELETE CHA KUFANYA ni NZIMA ANTIVIRUS IDOWNLOAD UPIA NA UITUMIE KISHA WASHA ANTIVIRUS YAKO TENA
  4. sasa ushaidownload vzuri prog yako ina alama ya funguo hv kwanza kama kawaida connect modem yako ikiwa haina lyn yoyote kisha close iyo software yake ambayo inatokea automaticaly ya kukonnect modem yako na kisha fungua huawei datacard unlocker na click CONNECT TO DEVICE na itaanza kuiload na kuleta details zake zote na mpaka mwisho itaianlock yenyewe
  5.vitu vya kuzingatia ujue kuwa imekuwa counter unlocked pale kwny info amabazo zitatokea kuna sehemu itaonyesha kuwa (10tried, left0) hapo ujue kuwa bado haijakuwa unlocked lakni rudi iyo process mpaka utaona imebadilika na inasema(0tried ,10 left) na mwishowe hamna eror bali imeandikwa UNLOCK... coz kama imegoma italeta ERROR mwishoni jaribu tena na utaona ITALETA unlock... na iyo ifo apo juu ya (tried 0, left 10) sasa baada ya apo umefanikiwa ASAILIMIA 100 kuituwa counter lock yake sasa cha kufanya ni zile zile PROCESS za MWANZO za KAWAIDA TENA YA KUUNLOCK MODEM AMBAYO HAJAWA COUNTER LOCKED!!! ukiwa umekwama sehemu uliza na utasaidiwa
   
Loading...