JT and LS cases of Racism on English Premier League 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JT and LS cases of Racism on English Premier League 2012

Discussion in 'Sports' started by Kalumbesa, Apr 27, 2012.

 1. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wana jamii forums na wapenzi wa jukwaa hili la Michezo. Kwa wale tunaofuatilia ligi kuu ya uingereza,kumekuwa na matukio mawili yanayohusishwa na ubaguzi wa rangi,yakiwakabili JT(John Terry) na LS(Luis Suarez).Baada ya LS kutuhumiwa kumtolea maneno ya kibaguzi Patrice Evra,alipatikana na hatia na kuadhibiwa kwa kukosa mechi nane.Kinachoshangaza ni kwamba kesi ya JT dhidi ya Antony Ferdinand hata haikusikilizwa,na FA wakatoa tamko kwamba kesi hiyo itasikilizwa baada ya ligi kumalizika mwezi wa 6.Nikajiuliza kwa nini kesi ya LS nayo wasingesema itasikilizwa mwezi wa 6?. Chelsea wakakutana na timu ya QPR kwa mara nyingine katika kombe la FA,wachezaji wa QPR wakapanga kutokumshika JT mkono.FA waliamua kuondoa utaratibu wa kupeana mikono katika mechi ile,kumnusuru JT.Wikiendi hii tutashuhudia mechi ya mzunguko wa pili ya ligi kati ya Chelsea na QPR na FA wameshatangaza tena kwamba hakutakuwa na ule utaratibu wa kushikana mikono kabla ya mechi.Najiuliza mbona Man U na Liverpool walipokutana tena FA hawakuondoa huu utaratibu wa kushikana mikono kabla ya mechi ile?Je hii ni kwa sababu LS si mwingereza? Kwa nini kesi ya John Terry(mwingereza) dhidi ya Anthony Ferdinand(Mwingereza) isikilizwe baada ya ligi kuisha wakati kesi ya Luis Suarez(Uruguay) dhidi ya Patrice Evra(Ufaransa) isikilizwe wakati ule ule?kwa nini huku waruhusu utaratibu wa kushikana mikono huku wazuie tena mara zote mbili? Je hii haidhihirishi kwamba FA wamezichukulia kesi hizi tofauti kwa sababu ya racism?yaani FA pia ni wabaguzi au ndio mcheza kwao hutuzwa? Karibuni tujadili ila tuweke usabiki wa timu pembeni!
   
 2. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Ushasema Suarez sio mwingereza, kila mtu anajua kesi yake ilipikwa ndio maana mambo yalienda kama yalivyofanyika. JT anabebwa na FA ndio sababu hali inakuwa hivyo
   
 3. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Waingereza ni wabaguzi sana na hilo linachangia sana soka lao la timu ya taifa kuwa chini. Hawatajifunza kwa wachezaji wa nje kutokana na tabia yao ya kuwabagua.
   
 4. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamaa wanafanya vitu vya ajabu na nahisi mwezi wa sita watamsafisha JT
   
 5. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hakika hawa watu ni wabaguzi maana inshu ya Terry ilionekana iko dhahiri
   
 6. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Amesafishwa tayari
   
 7. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hence proved, FA are racists for acting quickly and punish Suarez because he his not English
   
 8. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Wamenikera sana. Ile move ya Suarez ilituharibia sana na FA kwa chuki zao walifanikiwa. Ndio maana litimu lao la Taifa hakuna kitu
   
 9. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yani sio siri FA wamechemka maana inshu ya terry ilikuwa dhahiri hata pale pale uwanjani wachezaji wengi walisogea na terry alionekana kabisa kutoa maneno kwa ferdinand.inshu hata kaka mtu rio ferdinand alipopewa mchapo na dogo akafeel na yeye kutendewa,suarez incidence ilikuwa ni wakati wa kona na wachezaji wengi hawakuonekana kujua kinachoendelea kati ya suarez na evra lakini kesi iliamuliwa fasta mechi nane na fine,wizi mtupu!
   
Loading...