Mpaka sasa Js saoura anaongoza goli mo bila dhidi ya al ahly. Dakika ya 75. Matokeo yakiisha hivi simba atakuwa anaongoza kundi hata kabla mech ya pili hajacheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoma bado inaendeleaMpaka sasa Js saoura anaongoza goli mo bila dhidi ya al ahly. Dakika ya 75. Matokeo yakiisha hivi simba atakuwa anaongoza kundi hata kabla mech ya pili hajacheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuhh kweli mbumbumbuHii mechi ikiisha hvi alafu kesho simba ashinde. Basi simba itakuwa imejihakikishia kwenda kwenye robo fainali
Sent using Jamii Forums mobile app