JPM wewe ni zaidi ya Donald Trump

Muju4

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
5,470
7,405
Wakati Waafrika wenzetu wakiwepo wana jamvi wakishangilia maneo ya hovyo kutoka kwa Trump hali sasa si shwari kwani ni hivi karibuni amenusurika kupokea kipigo kufuatia kauli zake tata...wakati hayo yakimkuta Trump hali imekuwa ni tofauti maana JPM amefanikiwa kukonga nyoyo za Watanzania wote pasipo kujali itikadi zao na popote anapoenda watu wamekuwa wakifurika kuweza kumsikia Rais wao anawaeleza nini huku wakiwa na furaha..sasa ni wakati muhimu kwa wale mnaosheherekea maaneno machafu ya Trump yaliyolega kuwagawa anaotaka kuwaongoza mjitafakari na mjisahihishe sio kila wakati wazungu watakuwa sahihi jivunieni Utaifa na asili yenu
 
Labda atakuwa amemshinda Trump kwa maneno lakini si kwa matendo. Wenzetu wazungu asilimia kubwa wanasema wanachokimaanisha sio kwa viongozi wetu.
 
Wakati Waafrika wenzetu wakiwepo wana jamvi wakishangilia maneo ya hovyo kutoka kwa Trump hali sasa si shwari kwani ni hivi karibuni amenusurika kupokea kipigo kufuatia kauli zake tata...wakati hayo yakimkuta Trump hali imekuwa ni tofauti maana JPM amefanikiwa kukonga nyoyo za Watanzania wote pasipo kujali itikadi zao na popote anapoenda watu wamekuwa wakifurika kuweza kumsikia Rais wao anawaeleza nini huku wakiwa na furaha..sasa ni wakati muhimu kwa wale mnaosheherekea maaneno machafu ya Trump yaliyolega kuwagawa anaotaka kuwaongoza mjitafakari na mjisahihishe sio kila wakati wazungu watakuwa sahihi jivunieni Utaifa na asili yenu
Vizuri sana sisi Pemba tunalala SAA mbili usiku
 
Back
Top Bottom