JPM, Viwanda vya sukari vioneshe depot zao kila wilaya na flow ya sukari kabla ya kuzuia sukari

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
POLE NA KAZI ; SERIKALI YA HAPA KAZI TU.
WASIWASI WANGU NI WAZIRI MWINGULU NJEMBA KAONGOPEWA NA WENYE VIWANDA VYA SUKARI NCHINI; KWA KUKAGUA GODOWN LA KIWANDA BADALA YA KUKAGUA GODOWN ZA AGENT WALIOKO WILAYANI VIJIJINI NA MIKOANI,
MI NAONA KAKURUPRKA KUSHAURI BARAZA LA MAWAZIRI KUZUIA SUKARI BILA KUFANYA ANALYSISI YA KUTOSHA .

SISI NI WENYEJI WILAYA MISENYI AMABAKO KIWANDA CHA KAGERA SUGAR KIPO; LAKINI UKIENDA KWA WAKZI WA MKOA KAGERA NI 20% NDO WANTUMIA SUKARI YA KAGERA SUGAR .
UKIULIZA UNAAMBIWA SUKARI YOTE HIKO BOOKED NA WAFANYA BIASHARA WA UGANDA NA SOUTH AFRIKA;
NAUHAKIKA JPM AKIWA MBUNGE WA CHATO SIJUI KAMA WILAYI KWAKE KUNA AGENT WA KAGERA SUGAR?????

USHAURI WANGU KABLA YA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU;

1. TUNA VIWANDA VINGAPI TANZANIA VIKUBWA KWA KANDA??
2. TUNA MASHAMBA YA UKUBWA GANI YA MIWA??
3. JE KIWANDA KINA DEPOT KILA WILAYA AU MKOA,

WAZIRI MWIGULU ATUONYESHE DEPOT NA AGENT WA MTIBWA AU KAGERA , TPP MOSHI WILAYANI KWAKE NA ANASUKARI KIASI GANI;;

USHAURI - KWA JPM

1. KABLA YA KUZUIA SUKARI - KILA KIWANDA KIFUNGUE DEPOT KILA WILAYA/ MKOA, KAMA TBL

2. KILA WILAYA AWEPO AGENT WA KILA KIWANDA / ILI KUONDOA MONOPOLY ; KAMA VIWANDA VYA BIA.

3. LAZIMA KILA DEPOT IWE NA STOCK YA KUTOSHA ; ISIPUNGUE MIFUKO 500/=

4. AGENT HUYU NDO AWE ANA SUPPLY KWA WAUZAJI WA VIJIJINI NA WILAYANI. ILI CONTROL FLOW.

5. KILA KIWANDA KIWE NA MALORI YA KUTOSHA KAMA MAKAMPUNI YA SODA AU AZAM.

TUKIANZA NA AYA NDO TUTAJUA KWELI HIVI VIWANDA VINAZZALISHA SKUARI YA KUTOSHA AUA UONGO.

NASHAURI WAZIRI MKUU NA MWIGULU SIO KUTEMBELEA STOCK ZA VIWANDANI- TEMBELEENI DEPOT ZA WILAYANI KWA KUSHTUKIZA,

  • :eek:
 
List of Factories in Tanzania

Kilombero Sugar Company Limited
TPC Limited
Mtibwa Sugar Estates
Kagera Sugar Limited
 
Niliwahi kufanya kazi kwenye mojawapo ya makampuni ya kuzalisha sukari kwenye miaka ya 1990. Wakati ule ilikuwa inazalishwa sukari nchi nzima takribani tani 300,000. Wakati ule viwanda karibu vyote vilikuwa havijabinafsishwa. Nashangaa mpaka leo tani zinazozalishwa karibu bado ni zile zile. Kuna jambo haliko sawa hapa. Ubinafsishaji ulipaswa kuleta tija na kuongeza uzalishaji. Kama hawana uwezo siyo sahihi kuwapa monopoly ya soko wasiloweza kukidhi mahitaji yake.
 
SIJAWAHI ONA MATANGAZO YA SUKARI KWENYE MEDIA YOYOTE; KAMA TUNAVYOONA AZAM, COCA COLA, BIA N.K,

HAPA KUNA SHIDA ;
MWIGULU NJEMBA ACHUNGUZWE KAMA ANA INTEREST; SITEGEMEI MSOMI MKUBWA KAMA YEYE KUNA NA CHEAP ANALYSIS KAMA HII KWA RAISI JOHN POMBE.
THERE IS SOMETHING WRONG
 
Aiseeh ! nilikuwa na wazo kama lako ! ..... huwezi kupiga marufuku sukari bila kutengeneza mfumo wa distributio, pia Sukari ingeuzwa kwa 'quota'
Kila kampuni ingepewa territory yake. na wakati wa uhapa viwanada na watu binafsi wapewe quotq za kuagiza nje.
 
THERE U ARE.

VIWANDA KAMA WANASHINDWA VIPEWE ZONE
Kilombero Sugar Company Limited.......................... PWANI NA NYANDA ZA JUU
TPC Limited............................................... KANDA YA KATI NA KASIKAZINI
Mtibwa Sugar Estates.............................KANDA YA KUSINI NA MGHARIBI
Kagera Sugar Limited.............................KANDA YA ZIWA

BODI YA SUKARI AMBAYO HIPO SUGAR HOUSE ISIMAMIE KWA MAKINI.

NAONA KWA HILI ATA UZALISHAJI UTAONGEZEKA NA AJIRA MASHAMBA YA MIWA ITAKUWA KUBWA.

SWALI .............JE VIONGOZI WANAUPEO HUU ARE THEY SERIOUSLY
 
Huku nilipo sukari ni 102000 kg 50, halafu upatikanaji wake ni shida tupu
 
POLE SANA;
MWIGULU APEWE BARUA YA ONYO NA JPM.
KUMSHAURI VIBAYA ; KABLA AJAANDAA MIUNDO MBINU
 
Nahili nalo naona watarudi na dhana ya kuagiza sukari nje kwa kibali maalumu, sijui tutafika na ukurupukaji huu?
 
SIJAWAHI ONA MATANGAZO YA SUKARI KWENYE MEDIA YOYOTE; KAMA TUNAVYOONA AZAM, COCA COLA, BIA N.K,

HAPA KUNA SHIDA ;
MWIGULU NJEMBA ACHUNGUZWE KAMA ANA INTEREST; SITEGEMEI MSOMI MKUBWA KAMA YEYE KUNA NA CHEAP ANALYSIS KAMA HII KWA RAISI JOHN POMBE.
THERE IS SOMETHING WRONG
Wewe ulisha toa ushauri hapo juu
Sasa habari za kumchunguza Mwigulu zinakujaje!!
Ama tuelewe una chuki naye

Ushauri wako hapo juu ni mzuri
NA unapaswa ukumbuke kuwa
Hivyo viwanda vilikuwapo kabla ya mwigulu
Kuna viongozi wengi walio kuwepo NA mfumo ndio umevifanya viwanda vya Sukari kutofautiana na Bia.

Lakini ili kubadirisha hali
Ushauri kama huo ndio mzuri
Sio kumchumguza Waziri kama ana uwezo
 
Namkubali sana Rais wetu ila kwa hili la kuzuiz sukari ya nje na hili la mitumba kadanganywa mchana kweupeee!!
Mtaani tunaisoma namba kwa bei ya sukari ilivopanda
 
Ukweli uzalishaji wa Sukari Tanzania hauwezi kutoshereza soko. hata ukienda kwenye magodown yao hao wazarishaji hawana sukari. pia sukari inayouzwa nje ya nchi ni nyingi. kaguwa cheques na invoice za viwanda utaona ni Agents wangapi wa ndani. bei ya sukari imepanda baada ya katazo ya vibali vya sukari kutoka nje na wala sio ufichaji wa sukari kwa agents ili wapandishe bei. demand ni kubwa ya sukari kuliko supply.
 
Kiwanda cha mttibwa cha Nani mbona kinadhulumu wakulima wa nje
 
Huyu Nchemba ndiye aliyekuwa anataka kuwa rais wa tz? hajielewi kabisa huyu jamaa kwanza aje afute yale mauchafu yake kila wilaya "chagua nchemba"
 
SERA ZINGINE ZINAPINGANA KABISA NA MISINGI YA UCHUMI.SIO LAZIMA NA SI VIZURI MZALISHAJI WA BIDHAA AWE MSAMBAZAJI,MSAFIRISHAJI NA MUUZAJI WA JUMLA.KAZI HIZI HUFANYWA NA MIDDLEMAN KWA USHINDANI
 
Niliwahi kufanya kazi kwenye mojawapo ya makampuni ya kuzalisha sukari kwenye miaka ya 1990. Wakati ule ilikuwa inazalishwa sukari nchi nzima takribani tani 300,000. Wakati ule viwanda karibu vyote vilikuwa havijabinafsishwa. Nashangaa mpaka leo tani zinazozalishwa karibu bado ni zile zile. Kuna jambo haliko sawa hapa. Ubinafsishaji ulipaswa kuleta tija na kuongeza uzalishaji. Kama hawana uwezo siyo sahihi kuwapa monopoly ya soko wasiloweza kukidhi mahitaji yake.
Mkuu jambo ambalo haliko sawa hapo ni kwamba,huenda hao waliopewa viwanda baadhi yao ndio waingizaji wakubwa wa sukari kutoka nje. Sababu gharama za uzalishaji wa ndani ni kubwa kuliko kuagiza na kuuza. Kwa hiyo wanazalisha chini ya kiwango makusudi ili wapate sababu ya kuagiza sukari ya nje. Ndio maana hakuna ongezeko tuliotegemea kwenye. uzalishaji
 
Back
Top Bottom