JPM tusikie kilio chetu Uraini TAFADHALI..

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
453
628
Natumaini Mods hatafuta hii thread..Inshallah..
Tunamuomba raisi wetu JPM, aendelee kutumbuwa majipu kwa kasi ila yaendana na mapunguzo ya bidhaa nchini basi, kuanzia nyanya, vitunguu, mafuta ya kupikia, sukari, unga, mchele na mazagazaga mengine.
Ama sivyo haileti maana kwetu uraini!
Hatulii taarifa za kutumbuana, hatunywi kusikia mtu kaswekwa ndani sababu ya ufisadi, tunachojali ni bei za bidhaa, tuiton fees kwa watoto, uniforms zao na mavazi yetu.
Tafadhali JPM tusikie kilio chetu..
 
Aisee! Ataweza vipi wakati keshavuruga?
Ndivyo ilivyo... wasioshaurika wengi huaribu alafu ni wepesi wa kulaumu na kuyakimbia makosa na udhaifu wao.

Tumbua tumbua ni sehemu ya kuficha udhaifu
 
Back
Top Bottom