JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

Mwanakijiji amefeli kabisa. Ni kweli project Lowasa ilikuwa na mapungufu makubwa, lakini anashindwa kutambua kwamba Lissu wa leo amezaliwa na udikteta na ukatili wa utawala wa Magufuli. Siasa za mazungumzo za Kikwete zilimdumaza Lissu akabakia kujiona ni mbunge tu. Lakini ubabe wa Magufuli umeiamsha GENIUS ya Lissu. Hivyo Lissu 2015 asingeweza kutamba hivi na kuungwa mkono hivi.

Ni kweli ameichonga CHADEMA na ameiamsha upya, na watanzania wameitikia. Tanzania pia ipo tayari kumpokea Lissu kama kiongozi wao, baada ya kuchoshwa na ubabe wa Magufuli. Lissu ndie mtanzania pekee mwenye uthubutu wa kumkabili Magufuli, pamoja na maguvu yake na ukali wake. Hilo halikuwepo 2015.

Kulikuwa na hoja zinajengwa kwamba ACT ndio inakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Lakini Kimbunga cha Lissu pamoja na kimeo cha Membe, vimefutilia mbali ndoto hizo na sasa ACT wanakuwa washirika wa CHADEMA .

Lissu bado anamhitaji saaaana Mbowe. Na kwa kweli bila msimamo, hekima na akili za Mbowe, Lissu asingevuka kirahisi shambulio la risasi. Kwa hiyo unaweza kusema Mbowe ni mmoja wa wakunga wakuu katika kuzaliwa Lissu wa leo. Na hilo Lissu analijua, na anamheshimu sana Mbowe.

Mwanakijiji ana hangover za 2015 na anataka kupanga meza ili afunike blunder zake katika kumsapoti Magufuli kwa hasira za Lowasa kuja CHADEMA
Mkuu Mindi , kwanza asante kwa mchango wako, nadhani tangu bandiko hili limepanda mpaka sasa more than 100 posts, mchango wako ndio the most objective.

P
 
Wanabodi,

Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri,
Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize



Kwa faida ya watumiaji wa bundle kwa budget hivyo hawezi kufungua video links na wale wenzangu na mimi wa kiwango cha uelewa wa chini kiasi cha kutoweza kumuelewa GT wa level ya Mkuu Mzee Mwanakijiji,
nawawekea paraphrased version, naomba kunukuu

"Nije kwa ndugu yangu Lissu...,
Lissu ni mtu ambaye anayeweza kuja kuwa rais wa Tanzania, hili sina shaka, sina shaka kabisa, na ana qualifications zote,
Jambo pekee ambalo amelikosa, na hii ninayo waambia, ndio sio sababu kubwa kwanini Lissu, sio tuu kwamba atashindwa, bali inampasa ashindwe, unisikilize vizuri.

Lisu atashinda, lakini pia inampasa ashindwe, nitakuambia kwa nini, kwasababu ndio utaamua upinzani wa Tanzania unaelekea wapi. Hili linalotokea leo hii, lilitakiwa litokee 2015, leo hii kuna mstari umechorwa mweupe kabisaa, kati ya CCM na Chadema, ile separation is very clear, watu wanaomuunga Lissu wapo na wanajua kwanini, na wanaomuunga Magufuli wapo na wanajua kwanini, Lissu atakaposhindwa, itaamua Chadema iende vipi 2025, ina ajenda gani?.

Na jambo la kwanza ambalo napenda kulisikia kabla ya mwisho wa wiki hii, baada ya Magufuli tuu kutangazwa kuwa rais,
(atashinda nimewaambia), (kwa msisitizo)
Freeman Aikaeli Mbowe, ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu chama, Lissu aijenge Chadema kwa image yake, na anataka chama cha upinzani kiende vipi.

Na nnajua (Lissu) ni mwanaharakati, na hii labda ndio weakness yake, lakini sasa ni lazima aanze kuonekana kama ni statesmanship, kuonyesha statesmanship, lazima Lissu aanze kuonekana kama kiongozi kweli wa upinzani, na hivyo aone, ni kwamba atakipokea chama hiki kabla ya mwisho wa wiki hii, na akae chini na...
mimi of course, mimi I'm always open, wakisema Bwana Ben, tunaomba uje uzungumze nasi, unatushauri vipi sasa hivi, mimi I'm very frank, mimi kwangu Tanzania ni kubwa zaidi kuliko hawa wagombea, kuliko hivi vyama vya kisiasa...


Lakini Lissu, atatakiwa aijenge Chadema, hastahili kupewe kura za pole, shukrani, hongera au asante, anatakiwa apewe kura za kuonyesha kama amekuwa kuongozi wa upinzani, na ameujenga upinzani wa Tanzania, na ana miaka 5 kuamua Chadema inakuwaje"-Mzee Mwanakijiji

Mwisho wa kunuku
My Take
Kufuatia exposure ya Mkuu Mzee Mwanakijiji, mimi naukubali ushauri huu ni ushauri wa busara sana, hivyo nawashauri wale wote wanaomkubali Mzee Mwanakijiji, na walipanga kesho wampigie kura Lissu, sasa kura hizo, waziweke akiba hadi 2025, kwa kesho, badala ya kuzipoteza kwa kumpigia mtu ambaye hata shinda, bora wampe Magufuli ambaye ndiye atamkabidhi Lissu ikule ile 2025.
Paskali

Hapa Mzee Mwanakijiji alisema kweli, hili la kwanza limetokea, Lissu ameshindwa.

Sasa na tusubiri la pili, jee litatokea?.
P
 
Na Lissu akishinda?...
Screenshot_20201031_162252.jpg

2025 sio mbali bora uhai tuu..
 
Psscal unatatizo moja ie. When you see things, you want you dont want see things you dont want.HEITER. Haya akishaua kila mtu akakupa huo ukuu wa wilaya utaufanyia nini? Think like aman.
 
nyie MAENDELEO YETU MMEYAKANYA CHINI kisa kampeni za KIHUNI ZISIZOZA KIZALENDO KWELI UNADIRIKI KABISA KUSEMA UTAWEKA REHANi MADINI/UTAJIRI WETU kweli Tundu lina umbo la Duara na Duara lina umbo la ZERO au O kubwa . Na tundu kama hilo ni lile linalo tumika kutoa uchafu mkubwa mwilini/kinyedi AMBALO SASA NILO MASHOGA HUTUMIA KUFANYIA MAPENZI kwa mwanaume mwenzake ni kinyaaa sana/hili ni usodoma
 
Swali moja rahisi sana kwako Paskali. CHADEMA ikifa, Watanzania na taifa kwa ujumla tutapata hasara gani? Unaamini NI LAZIMA CHADEMA iendelee kuwepo (exist)?

Maelezo yote hayo marefu sana uliyotoa na ambayo umekuwa ukiyatoa zaidi ya mwaka kuhusu CHADEMA, yanadhihirisha kuwa kwa mazingira ya kisiasa tuliyo nayo Tanzania, HAIWEZEKANI tuwe na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini ambao ni BONA FIDE GENUINE.

Halafu, VERY CURIOUSLY, siioni juhudi yako ya dhati kuwaasa wenye dhamana ya kutengeneza mazingira sahihi ya demokrasia ya vyama vingi Tanzania ili kuwezesha vyama kama CHADEMA kuwepo na kufanya shughuli zake kwa ufanisi. Hapo ungeeleweka badala ya kupania kwa makala kadhaa zilizojaa jazba nyingi kutaka CHADEMA IWEPO na ikubaliane na dola tu hata katika mazingira hatarishi kiasi gani!

WHAT’S YOUR REAL MOTIVE?
Mkuu Drifter, kwanza asante kwa mchango wako, very objective, kiukweli tangu nimepandisha uzi huu, wewe ndio mtu wa kwanza kunielewa, kwasababu, kiukweli kabisa, hii jf ya sasa, tuna watu wachache sana, wenye kuweza kusoma bandiko na kisha kujiuliza what is the motive behind.

Chama cha Mapinduzi ni chama cha ukweli na haki, kiliasisiwa na Mwalimu Nyerere, mpenda haki na mtenda haki. Baada ya Mwalimu, CCM ilipitia mageuzi na kuishiwa kuhodhiwa na wenye fedha, hivyo kuzalisha kada kubwa ya makada wa CCM ambao ni makada maslahi, na kwenye uchaguzi, wanakuwa wako tayari kutumia mbinu zozote kushinda uchaguzi. JPM alipoingia, amekuja kuibadili CCM kuirudisha ile CCM ya Nyerere. Sasa ndani ya makada wa CCM, kuna makada wa aina mbili, kuna "CCM Die Hard", hawa ndio wanaotaka kuhakikisha CCM inaupondaponda upinzani na kushinda kwa asilimia 99.9% kwa kutumia mbinu zozote.

Tupo sisi makada "Modern CCM" ambao kutokana na good track ya kazi nzuri ya JPM, CCM innashinda kwa mshindi mzuri safi na clear victory, kushinda kwa haki bila kufanya figisu figisu zozote.

Kwa vile Bunge letu ni Bunge la vyama vingi, mimi naamini kuna baadhi ya wana CCM very genuine, hakupenda kuona baadhi ya wapinzani wakishindwa akiwemo mtu kama Zitto!. Lakini kutokana na wapinzani kukataliwa na wananchi, ili Bunge lichangamke, zile kamati 2 za oversight committee, PAC na LAAC, lazima ziongozwe na wabunge wa upinzania ambao ni vichwa vya ukweli, kwenye hao wabunge wote sijaona watu wa kalibre hiyo ndio maana kila siku, tunamuomba Mwenyekiti wetu, JPM, katika zile nafasi zake 10, awateua wapinzani 4, Zitto, JJ Mnyika, Mbatia na kale kabinti Queen Sendiga.

Ili CCM itawale vizuri inahitaji Upinzani makini, ndio maana kila uchao, naibalasa Chadema humu na ACT Zanzibar, waache ujinga wa kususa. Ili kusasa kwa akili ni kususa kama kwa kususa huko utaachieve something, lakini kususa tuu for the sake of kususa, huku you won't achieve anything huu ni ujinga!.

Karibu tena.
P
 
Back
Top Bottom