matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,541
- 15,185
Wangekuwa wanaitwa kusali tu wanaondoka.
Vinginevyo na waganga wa kienyeji nao wapewe nafasi ya kuongea. Maana licha ya wabongo wengi kuwa watu wa dini asilimia kubwa wanaogopa waganga na kuwaheshimu kuliko Mungu.